Jicho langu la Tatu kutoka ukumbi wa Magogoni Feri

Yote tisa kumi ni kua asitake kudanganya watu kwamba uzalendo ni kumuunga mkono yeye kwamba kua tofauti nae unakua sio mzalendo, na mwisho inawezekana ukaichukia serikali yako ila ukaipenda nchi yako tusilazimishe watu waipende serikali iliyopo madarakani....
 
mkuu"GENTAMYCINE" bado makengeza yangu yananituma kuchunguza zaidi kuwa nina muonya nani? ujue tu kuwa huyu ni king maker, huyu ni zaidi Ya jiwe kuu la pembeni. kuna tawala zilijikwaa kwake na zikaangamia kabisa
 
So swali kwako ni je tuungane na watu aina ya waliommimina risasi zote zile Lissu, nimejaribu k
mkuu, just thinking aloud, mimi sifungamani na rangi yoyote hivyo naendelea KUJIULIZA : itakuwaje tutakapo gundua pasipo Shaka kuwa huyu tumayemdhania kuwa mhusika wa risasi za Lisu siye?
 
Vipi issue ya mfalme Daud kupeleka Uria front line ili apate nafasi ya kuvinjari vizuri na mkewe?
 
Kumbe na wewe ni wale per day was Lumumba!
 

Nakubaliana na wewe..
Lakini kushinda mtihani si lazma upitie changamoto..
Mkulu wetu ndo kwanza mwaka wa pilii huu bado mitatu tuweze kumpima UFAULU wake..

Kifupi hakuna mtu hata wewe/ anayefanya jambo bila kujiandaa..hayo aliyosema yalikua mameno tuu ya kuchomekea..
Kifupi huyu Rais alikua kashandaliwa..sio kama unavyodhani kua niwakustukiza..
 
Siyo wote tulikuwa na muda wa kuangalia TV kama wee ulifuatilia kausha tu mkuu.

Mkuu usipoteze nae muda huyo ' Mpuuzi ' na si unaona tokea nimpe ile ' dozi ' yangu hajarudi tena mpaka sasa hivi? Na nilimtamani sana arudi ili nimalize Kazi kabisa. Ana bahati mno!
 
foa shudu zako hapa hapo kuna mafumbo gani kama hizo sentense ni mafumbo je ukiwekewa mafumbo yenyewe si utasema hizo ni methali

Mkuu unaonyesha hupendi sana kusoma sijui hata kama umewahi kusoma biblia, jamaa ameandika kwa staha mno kuondoa kadhia yeyote ile. Endelea kusoma vitu kama hadithi za usiku bila kutafakari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…