jibu sasahiv.......

jibu sasahiv.......

mkurugenzi1

Senior Member
Joined
Mar 22, 2009
Posts
122
Reaction score
28
Ungependa kuwa kitugani kati ya hivi":;;
kitanda ulaliwe,
kapeti ukanyagwe
pipi unyonywe,
Mpira uchezewe
Msumari ushindiliwe
mbegu upandwe
Tunda uliwe
nazi ukunwe
Choo ukojolewe
Dafu uchokonolewe
Kamba ukazwe
Pilau upakuliwe!
Mtoto upakatwe!
AU mti upalamiwe!
kitunguu umenywe na ukatwe
chapati usukumwe ukandwe ikisha ukipwe huku na huku.....
tango uchongwe..
yai upasulie....
samaki uvuliwe
dagaaa uanikwe...
punda upandwe...
nijibu wala usiwe na wasiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.................!
 
Mjanja wewe, ila swali lingelenga kwa kina dada-wanawake tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom