Jibu hapaa aiseee

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
51,118
Reaction score
72,598
Laiti mapenzi yangekuwa na vifurushi, Je, wewe ungejiunga na kifurushi gani?
1.Cha siku?
2.Cha wiki?
3.Cha mwezi?
4.Cha mwaka?
5.Cha daima milele ?
CHAGUA NIONE KIFURUSHI CHAKO. " heheiyaaaaaaaaaaaaaa
 
Laiti mapenzi yangekuwa na vifurushi, Je, wewe ungejiunga na kifurushi gani?
1.Cha siku?
2.Cha wiki?
3.Cha mwezi?
4.Cha mwaka?
5.Cha daima milele ?
CHAGUA NIONE KIFURUSHI CHAKO. " heheiyaaaaaaaaaaaaaa
Ningejiunga na vyote,maana ningekuwa navibadilisha kila Siku,wiki,mwezi na mwaka
Ila cha daima milele hakinihusu!!
 
Cha wiki nikimaliza najishauri kipi nirudie hicho hicho au nichukue chengine lakini cha milele mi simo.
 
Hata me nlitaka kuuliza, cha short time hamna?
 
Cha daima milele ni Mungu tu ndio hutuchagulia, mwanadamu ajaribu aone kivumbi na jasho
 
cha milele lakini mchepuko utahusika sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…