Jiamini make up ya nini? jiachie na mwonekano wako ukiwa natural

Khaaa sio kwa povu hili jamani figganigga ina maana ndo nimekukosa nilikuwaga nakumendea
 
Hahaha
Umeonaee... Walau ka Jonson powder
Eeh jamani. Halafu mtu ukipata make up unapendeza bwana. Urembo ni kwa ajili ya mwanamke. Sasa sio mwanaume atoke hata mafuta hapaki na mie hata lipstick kweli?? Anaeniona wa ajabu sawa tu ile mi moyo unafurahia
 
Hiyo yote iko akilini mwako tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…