Jiajiri! Matractor yanapatikana bei nafuu + mkopo

Jiajiri! Matractor yanapatikana bei nafuu + mkopo

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
4,123
Reaction score
2,444
Tractor zenye ubora aina ya SWARAJ na SAME, yaliyopitishwa na kampuni ya kimataifa ya ubora (ISO) na kupitishwa na wizara ya kilimo yanapatikana kwa bei nafuu,

Watanzania tuchangamkie fursa hii kwa maelezo zaidi 0684448888 au 0713415537.

Picha Zipo nyingi nichek Kwa 0713415537 nikutumie Kwa whatsap
 
Mapesa mangap?
By the way ISO sio company
Iso (international organisation for standardization )
 
Trekta bei gani weka bei kabisa kuliko kupiga simu kuanza kuuliza. weka bei kwenye simu tuanze makubaliano tuu.
 
Still bado tunakurupuka maana watu wanaweza kuona hivyoo wakakubali lakini ile kiuharisia bado kwa hayo matractor labda uwe haujapita skuli maana tractor kwa uharisia tuu moja lina range 40 Millioni sasa iyo kampuni gani inakopesha bila kua na collateral isiyopungua 50% yaani 20 M sidhani bado hapo.

Tatizo lile lile mtaji ni Big Prob mkubwa kwa nchi zote za third world...kila mtu anataka kujiajili lakini hana hata pa kujipatia mtaji leo unasema matractor yanakopeshwa sijui ngoja mpige mliopewa namba hiyooo mtakuja kutuambia kiasi gani kama collateral yao kupata ilo tractor kama si chini ya 20 M.
 
hahahaha hawa nao wanakopesha matractor....ngoja tukalime, hapo utaambiwa uwe na mil 30 mkononi afu ukatwe zingine 20 in one year kudadadekiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Yanini kupiga simu wakati haujamalizia kila kitu wazi hapa.
Njoo tupeane maarifa hapa bila kuficha na kujibu maswali yetu la sivyo ungekaa kimya,jifunze kwa wengine ambavyo sio wachoyo wa taarifa
 
Bei Za tractor Zinatofautiana kulingana na Aina ya tractors.. Maelezo yapo mengi ndo mana Kuna namba ya mawasiliano ila ya bei inaanzia 26.5m ndo bei ya chini Kuna 29.5m mpaka ya 54m
 
Kama umeamua kuja kutangaza hapa kwani nini usiweke specs na bei ya kila tractor. Tuache uvivu wakati tunataka kupata pesa. Weka tangazo lililokamilika. Kupiga simu iwe ni baada ya kujiridhisha na maelezo ya hapa. Sasa kila mtu akupigie simu aulize bei na specs wewe mwenyewe utaona unasumbuliwa
 
Huwa nashindwa kabisa kuelewa kwanini mtu anataka kuuza lakini haweki bei... au ni madalali bei inatofautiana kwa kila mteja? Sielewi kwa nini?
 
What is the price range?

Ndio maana nimeweka namba ya simu. Bei inategemea na bargain power yako. Ukiweza kunisaundisha nikuuzie rahisi basi bahati yako, ila we nipigie simu tuzungumze
 
Back
Top Bottom