Mwenzio anataka mablanketi-watu, hujamuuelewa tuu?
Kwa lugha rahisi haitaji kumpenda mtu, anahitaji kampani tu ya kulala usiku na pia hajaweka vigezo vyovyote vya status ya afya, sura, umbile, rangi wala dini!!! Kama na wewe uko huko msaidie nduguyo! :israel: