Mwananchi wa chini
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 227
- 599
ha ha ha unapenda kugegedana sana mkuuMaisha si kukalili kila mtu na njia yake, kwangu namba 2
safi sana..ila mapenzi bila pesa sidhani kama wazungu wanatokaMimi mapenzi
Lala tuuWanaume tafakarini wanawake tunalala
middle class wanasumbuliwa na pesa.
high class wanasumbuliwa na utawala.
low class wanasumbuliwa na wanawake.
Btw, umemtaja Lil wyne hapo nimekumbuka huu usiku tuliahidiwa release ya The Carter V.
ya cash money wanazingua toka 2012 ni kalenda tu.Utasikia mixtape 'sorry for the wait II' jamaa bangi sana huyoo.
Anyway nirudi kwenye mada, mimi hapo hakuna cha maana, huwezi amini mimi napenda sana matatizo sijui ndio naenda kuwa mwangaa?. Yaani kama ni pesa napenda niitafutee adi nichoke alafu niipate, ata mapenzi mwanamke wa chapu chapu huwa simpendi nataka anisumbuweee alafu nimpaye sasa ivyo ivyo izo siasa mimi napenda tupigane mabomu ya machozi wee!!, alafu tuchukue jimbo/nchi then tujisifie.
Hivi kwa haya maelezo si ninapenda matatizo wandugu??
Amkeni sasaWanaume tafakarini wanawake tunalala