Inaendelea..........
IV. Baada ya mafanikio ya Mulugo kupata uwaziri bila kuwa na vyeti vinavyoeleweka walimu
Paloma na
gfsonwin waandaa maandamano kwenda kwa raisi, wanadai na wao wapewe uwaziri, polisi wapiga marufuku, wanadai taarifa za kiinteligensia zinaonyesha kuna watu watapoteza kucha na meno.
V.
manoah apata kigugumizi kupeleka kusudio la ndoa yake na
mimisa mbele ya mwenyekiti licha ya kutakiwa kufanya hivyo takribani wiki tatu zilizopita, yadaiwa
Ciello na Maureen ndo chanzo,
Andindilile ashangilia, adai ni dalili njema kwake..
VI. Zimwi la multiple Ids lamuandama
Mr Rocky, yasemekana alitumia ID nyingine ili ampate
ladyfurahia ikabuma, sakata latinga kwa Mwenyekiti,
Mentor aapa kuroga mtu,
Mamndenyi akataa kulizungumzia....
VII. Baada ya
Slave kubainika alifundishwa na Mulugo aibu kuu yamnyemelea, adaiwa kumdanganya
Dena Amsi kuwa alisoma nje,
Dena Amsi adai hata hivyo alimuelewa kuwa alisomea nje ya darasa (yaani chini ya mti)
Itaendeleaa..............