Huyo
Baba V kala mtaji wake wa maembe ndio maana karudi kijijini!
Manake hata zile chapaa za kuwakatia machangu hana!
Mi nmtilie fitna mtu aliyefilisika mpaka mawazo!?
We vipi!
Halafu mambo ya kuitana kwenye hizi nyuzi za rusha roho mi sipendelei!
Manake humu kuna wanamme wanapaka rangi za midomo!
Ni laana kwenda mbele.