ni mzima kabisa, nampenda sana mke wangu.
mke wangu ni very charming..
i love her, kuanzia kucha hadi nywele.
nampenda na kila nikiwaza juu ya my 'Valentina' moyo wangu unapiga makofi
na shangwe na vigelegele..