D Desert Storm Member Joined Jan 30, 2014 Posts 74 Reaction score 23 Apr 27, 2014 #181 Arushaone said: Naweka pingamizi!!! Click to expand... Karucee wangu hili pingamizi sijui kama tutasalimika inaelekea utazidi kusaga lami nami kubeba box
Arushaone said: Naweka pingamizi!!! Click to expand... Karucee wangu hili pingamizi sijui kama tutasalimika inaelekea utazidi kusaga lami nami kubeba box
Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,754 Apr 27, 2014 #182 Eiyer said: Una hatari weye Unadhani una ubavu huo? Click to expand... hahaha unataka kuthibitisha kama huo ubavu ninao amah
Eiyer said: Una hatari weye Unadhani una ubavu huo? Click to expand... hahaha unataka kuthibitisha kama huo ubavu ninao amah
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 14,682 Reaction score 20,456 Apr 27, 2014 Thread starter #183 Desert Storm said: Kila aliyeko majuu si ni mbeba box? ni sawa na kila aliyeko Tanzania ni msaga lami? Majina ya utani hayo Click to expand... sasa huyo Karucee anasaga lami ya wapi? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Desert Storm said: Kila aliyeko majuu si ni mbeba box? ni sawa na kila aliyeko Tanzania ni msaga lami? Majina ya utani hayo Click to expand... sasa huyo Karucee anasaga lami ya wapi?
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 14,682 Reaction score 20,456 Apr 27, 2014 Thread starter #184 Desert Storm said: Kila aliyeko majuu si ni mbeba box? ni sawa na kila aliyeko Tanzania ni msaga lami? Majina ya utani hayo Click to expand... sasa huyo Karucee anasaga lami ya wapi? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Desert Storm said: Kila aliyeko majuu si ni mbeba box? ni sawa na kila aliyeko Tanzania ni msaga lami? Majina ya utani hayo Click to expand... sasa huyo Karucee anasaga lami ya wapi?
Lady doctor JF-Expert Member Joined Apr 13, 2013 Posts 8,756 Reaction score 7,005 Apr 27, 2014 #185 Karucee said: Nabishaaaaaaa. Sijawahi kuwa na mbeba boksi ila sasa nataka kujimuvuzisha kwa Desert Storm. Anataka tufunge ndoa so mwenye pingamizi tunampa 21 days na atoe sababu not to mention evidence. Kaizer, uran, kiwatengu, sosoliso, miss neddy Click to expand... daah..... Subhanallahi wa bihamdihi adada khalqihi! Yule pepo kahaba amekutoka halleluuyah! Hadi unaolewa kudraaaaaadeki!!! Cc: Arushaone, Kaizer, Eiyer! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Karucee said: Nabishaaaaaaa. Sijawahi kuwa na mbeba boksi ila sasa nataka kujimuvuzisha kwa Desert Storm. Anataka tufunge ndoa so mwenye pingamizi tunampa 21 days na atoe sababu not to mention evidence. Kaizer, uran, kiwatengu, sosoliso, miss neddy Click to expand... daah..... Subhanallahi wa bihamdihi adada khalqihi! Yule pepo kahaba amekutoka halleluuyah! Hadi unaolewa kudraaaaaadeki!!! Cc: Arushaone, Kaizer, Eiyer!
Lady doctor JF-Expert Member Joined Apr 13, 2013 Posts 8,756 Reaction score 7,005 Apr 27, 2014 #186 uran said: sasa huyo Karucee anasaga lami ya wapi? Click to expand... bagamoyo kwa babu cc: Karucee Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Lady doctor JF-Expert Member Joined Apr 13, 2013 Posts 8,756 Reaction score 7,005 Apr 27, 2014 #187 Arushaone said: Naweka pingamizi!!! Click to expand... shindwaaaaa!
Lady doctor JF-Expert Member Joined Apr 13, 2013 Posts 8,756 Reaction score 7,005 Apr 27, 2014 #188 miss neddy said: hahahahaha nusu kaputi itamfaa zaidi mamii cc Karucee Click to expand... yeah beibe....... Mzima lakidi douta wa mie? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
miss neddy said: hahahahaha nusu kaputi itamfaa zaidi mamii cc Karucee Click to expand... yeah beibe....... Mzima lakidi douta wa mie?
Lady doctor JF-Expert Member Joined Apr 13, 2013 Posts 8,756 Reaction score 7,005 Apr 27, 2014 #189 miss neddy said: hahahahahaha mamii roho mtakavitu huyu huyu alienusurika kitanzi cha ban kwa huruma yangu cc Eiyer Click to expand... weeeeee mwana weeee usitake nimwage 'kuku kwenye mchele wengi' (sijachapia) Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
miss neddy said: hahahahahaha mamii roho mtakavitu huyu huyu alienusurika kitanzi cha ban kwa huruma yangu cc Eiyer Click to expand... weeeeee mwana weeee usitake nimwage 'kuku kwenye mchele wengi' (sijachapia)
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Apr 27, 2014 #190 Ooohh haleluya!
Lady doctor JF-Expert Member Joined Apr 13, 2013 Posts 8,756 Reaction score 7,005 Apr 27, 2014 #191 mwallu said: kwani mimba uliyonayo ni ya nani? Click to expand... ni ya mume wa mtu...... I mean mume wangu na mtu mwenyewe ndo mie... Upo!!!
mwallu said: kwani mimba uliyonayo ni ya nani? Click to expand... ni ya mume wa mtu...... I mean mume wangu na mtu mwenyewe ndo mie... Upo!!!
Lady doctor JF-Expert Member Joined Apr 13, 2013 Posts 8,756 Reaction score 7,005 Apr 27, 2014 #192 'Valentina' said: We umetumwa ee,mwambie hujanikuta Click to expand... sawa nitamwambia sijakukuta lakini upo ndani
'Valentina' said: We umetumwa ee,mwambie hujanikuta Click to expand... sawa nitamwambia sijakukuta lakini upo ndani
Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,754 Apr 27, 2014 #193 Lady doctor said: yeah beibe....... Mzima lakidi douta wa mie? Click to expand... mimi mzima mamii miss you
Lady doctor said: yeah beibe....... Mzima lakidi douta wa mie? Click to expand... mimi mzima mamii miss you
Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,754 Apr 27, 2014 #194 Lady doctor said: weeeeee mwana weeee usitake nimwage 'kuku kwenye mchele wengi' (sijachapia) Click to expand... hahahahahahahaha unaniacha hoi
Lady doctor said: weeeeee mwana weeee usitake nimwage 'kuku kwenye mchele wengi' (sijachapia) Click to expand... hahahahahahahaha unaniacha hoi
Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,754 Apr 27, 2014 #195 Lady doctor said: shindwaaaaa! Click to expand... hahahahahaaa ashindwe nini
Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,754 Apr 27, 2014 #196 Lady doctor said: ni ya mume wa mtu...... I mean mume wangu na mtu mwenyewe ndo mie... Upo!!! Click to expand... hahahahahahaha leo umeamkia kushoto nini special queen
Lady doctor said: ni ya mume wa mtu...... I mean mume wangu na mtu mwenyewe ndo mie... Upo!!! Click to expand... hahahahahahaha leo umeamkia kushoto nini special queen
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Apr 27, 2014 #197 Lady doctor said: sawa nitamwambia sijakukuta lakini upo ndani Click to expand... Msalimie mumeo,alafu uje uchukue ile pafyum yabei mbaya uliyonunuliwa na yule mshkaji wako. Isije ikanletea kesi nyumban kwangu
Lady doctor said: sawa nitamwambia sijakukuta lakini upo ndani Click to expand... Msalimie mumeo,alafu uje uchukue ile pafyum yabei mbaya uliyonunuliwa na yule mshkaji wako. Isije ikanletea kesi nyumban kwangu
Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,754 Apr 27, 2014 #198 Lady doctor said: ni ya mume wa mtu...... I mean mume wangu na mtu mwenyewe ndo mie... Upo!!! Click to expand... hahahahahahaha leo umeamkia kushoto nini lady queen
Lady doctor said: ni ya mume wa mtu...... I mean mume wangu na mtu mwenyewe ndo mie... Upo!!! Click to expand... hahahahahahaha leo umeamkia kushoto nini lady queen
mwallu JF-Expert Member Joined Sep 5, 2013 Posts 6,787 Reaction score 4,215 Apr 27, 2014 #199 ahaaa..kumbe we mtu.. Lady doctor said: ni ya mume wa mtu...... I mean mume wangu na mtu mwenyewe ndo mie... Upo!!! Click to expand...
ahaaa..kumbe we mtu.. Lady doctor said: ni ya mume wa mtu...... I mean mume wangu na mtu mwenyewe ndo mie... Upo!!! Click to expand...
Lady doctor JF-Expert Member Joined Apr 13, 2013 Posts 8,756 Reaction score 7,005 Apr 27, 2014 #200 mwallu said: ahaaa..kumbe we mtu.. Click to expand... yeah mtu special, special kwa mume wa mtu. Cc: Karucee Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mwallu said: ahaaa..kumbe we mtu.. Click to expand... yeah mtu special, special kwa mume wa mtu. Cc: Karucee