Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Wala hujakosea Kongosho,wakati ule hazikua nyingi km sasawee nae Rejao pesa umepata wapi?
Ulishindwa kuninunulia matiti ya kuku pale kwa Edo utaweza umemba wa jf?
Kwanza naskia unalishwa na Cantalisia.
wee nae Rejao pesa umepata wapi?
Ulishindwa kuninunulia matiti ya kuku pale kwa Edo utaweza umemba wa jf?
Kwanza naskia unalishwa na Cantalisia.
We nae kwa kumshikia Yummy bango,kha,keshakwambia kwa Rocky hapindi wala hageuzi,au unataka umharibie unyumba vimshinde kama vya kwako na mzee upara?
Bishanga ushaliwa tayari lol!
Inamaana umefulia kiasi hicho!haya sasa ndio keshaomba kulipiwa na mie wala simzibii mme wangu Rejao bahati nishamruhusu amlipiee tu hahah,ahaha,
Nahisi kale ka wimbo ka Nyani Ngabu kaaply lol!
Bishanga hilo wala halinisumbui si unajua mahawara huwa hawanyiman!!
hahaaa Konnie naona na wewe umetumia silaha kali kumaliza Rejao kama alivyofanya Nyani Ngabu kwa Bishanga... Nimeshamwambia Eliza wa Tegeta kama Rejao akizingua mimi nitalipa hiyo membership halafu atanipa firigisi ya mdogo wake
Hahaha hahah haha, Bishanga mie sitaki ushahidi lol!Ni kweli ofcourse.
Huyu mdngi bana anaingilia hadi mambo yetu ya chumbani,najua wala hataiona hiyo post hapo!Unamjibu babako hivo? We mtoto mwombe radhi daddii.
Asante Mamndenyi, kumbe you know where I belong.
Afu sijamwona siku nyingi, roho yangu inataka kuacha mwili.
hahaaa Konnie naona na wewe umetumia silaha kali kumaliza Rejao kama alivyofanya Nyani Ngabu kwa Bishanga... Nimeshamwambia Eliza wa Tegeta kama Rejao akizingua mimi nitalipa hiyo membership halafu atanipa firigisi ya mdogo wake
Ndio kasema namlisha,ni kweli namlisha kitumbua kutwa mara 3,mpaka anacheuwa!
Umesahau kale ka wimbo,ka babu jinga mali zako zinaliwa! kalakabahoooooo!