Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,078
Rafiki leo umenikomesha ila Mungu anakuona!Zitakuwepo rafiki tumeshatoa order kihansi watuandalie
Koma.Rafiki leo umenikomesha ila Mungu anakuona!
Wewe shida yako si denda tu mkuu kama uliyosema hapo juu?....Chura niachie mie!Koma.
Rafiki yeye akiwa anadeal na denda mimi nitakuwa nachezea chura!Hahahahhaahhaa



Rafiki cha msingi ni wewe kunigeuzia chura tu!Utanifundisha rafiki



Duh!!....hapana rafiki hata hilo neno huwa sipendi kulisikia,matumizi sahihi ya chura nayajua mie!Rafiki usijekua mzibua mitaro tu