Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Duh hii dua yako Mkuu ,sio nzuri ,ukijipanga unafakiwa
Mkuu natania tu, ila isipokuwepo na ikiwepo kwangu haina shida sana.
Ikiwepo heri, isipokuwepo heri pia.
Duh hii dua yako Mkuu ,sio nzuri ,ukijipanga unafakiwa
Sawa ,karibu tugonge za jioni kwa Shayo hapaMkuu natania tu, ila isipokuwepo na ikiwepo kwangu haina shida sana.
Ikiwepo heri, isipokuwepo heri pia.
Sawa ,karibu tugonge za jioni kwa Shayo hapa
naomba poti asikose


Haina tatizo MkuuAsante mkuu, mwambie aniwekee mkia nipashe utumbo, nafika baada ya muda.
Walevi jinsi ambavyo sio wasiri utashangaa baada ya Party kila mmoja anaanza kujitapa na kuropoka ID zao.
Utasikia: Mimi ndiye Mbao za Mawe mnione vizuri ( Kwa sauti ya kulewa)
hatariiMtakuwa mmenisaidia maana huwa nina fujo sana.Ili kulinda identity inabidi siku hiyo usinywe kabisa. Unapiga zako maji ya limao na nyama choma.
Kwani kuna shida gani mtu akijua ID yako? Wewe una kipi hadi serikali ikutafute kwenye hiyo party? wakati hujawahi kumtukana hata Mod? Muda wote huko chit chart na Demiss mnazungumzia Mikuyenge na papuchi?
Jinga kabisa wewe

Mnuso kama huo niukose ili iweje sasa? Especially kama na wewe utauzamia?![]()

mie lazima niwepo aiseh!mie lazima niwepo aiseh!
Sasa itabidi dec uwe nansio uje tunywe vile vitu vyangu.
Mekumiss hata hivyo




mie nililazwa ndo nimeruhusiwa hospital saiz maana sijakuona yapata 5 days
Ngoja nifanye mchakato ili Dec niwe Nansio aisee, lazima tushuke na zile glass kubwa! Nimekumiss mpaka naumwa degedege!![]()
Ewaaa!fanya hima Dec uje bhana hizi mambo si zakukosa kabisa.
mie nililazwa ndo nimeruhusiwa hospital saiz maana sijakuona yapata 5 days


...Pole bana! Tusiharibu uzi wa mzigua! Mchango sasa! 

Mtakuwa mmenisaidia maana huwa nina fujo sana.
Jibu la kitu gani?