JF Party On My Mind

JF Party On My Mind

Kitambi, hangover ya jehanam, harufu mbaya mdomoni, na lile povuuu daaah!....mi hapana asee
Nilivyokuaga mjamzito nlikuaga nakunywa safari. Mpaka nimejifungua miezi sita ya mwanzo nakunywa tu. Siku ilinipa hangover nikaachana nayo hapo. Sema bia zote zinaleta kitambi. Toka niachane na bia na katumbo kanapungua pungua
 
Kuna wadada safari huwaambii kitu....mi navyokunywaga hivi vi wine vyangu kuna mashost huwa wananicheka eti naendekeza uduu ...nipige vitu vikali daaah
 
Meona eeeh!...mi mpaka niwe nakujua na nimekuzoea!
Siku hiyo dodoma tumekaa wadada wanne na mkaka mmoja. Sasa yule mkaka akawa yuko busy busy mafisi yakajua tuko wenyewe. Saa ngapi tusijaziwe pombe mezani. Kuuliza zimetoka wapi ndo yule kaka akashtuka. Kumbe zimetoka kwa wanajeshi na hao wanajeshi ukinywa hata bia yao moja wanakubeba kwa lazima. Alifukuzwa yule muhudumu kama mbwa na pombe zake. Japo tuaingezinywa ila kubebwa kisa pombe inatisha sana.
 
Nilivyokuaga mjamzito nlikuaga nakunywa safari. Mpaka nimejifungua miezi sita ya mwanzo nakunywa tu. Siku ilinipa hangover nikaachana nayo hapo. Sema bia zote zinaleta kitambi. Toka niachane na bia na katumbo kanapungua pungua
Uogopi kunywa huku una kijacho?

Mimi siwezi aisee hata wakati wa kunyonyesha naogopa naona kama inapitiliza kwa mwanangu
 
Kuna wadada safari huwaambii kitu....mi navyokunywaga hivi vi wine vyangu kuna mashost huwa wananicheka eti naendekeza uduu ...nipige vitu vikali daaah
Nishaachana na bia zote nahisi. Heineken yenyewe kuiacha ilikua kazi. Sasa hivu walaa siitamani. Alhamis nimejaribu Budweiser nako hamna kitu. Ntabaki kwa wine pombe kali na cocktail tu
 
Siku hiyo dodoma tumekaa wadada wanne na mkaka mmoja. Sasa yule mkaka akawa yuko busy busy mafisi yakajua tuko wenyewe. Saa ngapi tusijaziwe pombe mezani. Kuuliza zimetoka wapi ndo yule kaka akashtuka. Kumbe zimetoka kwa wanajeshi na hao wanajeshi ukinywa hata bia yao moja wanakubeba kwa lazima. Alifukuzwa yule muhudumu kama mbwa na pombe zake. Japo tuaingezinywa ila kubebwa kisa pombe inatisha sana.
Kazi ya offer hiyo ...

Kulala na mjeda inahitajika ujasiri sio wa nchi hii
 
Nilivyokuaga mjamzito nlikuaga nakunywa safari. Mpaka nimejifungua miezi sita ya mwanzo nakunywa tu. Siku ilinipa hangover nikaachana nayo hapo. Sema bia zote zinaleta kitambi. Toka niachane na bia na katumbo kanapungua pungua
Unakunywa pombe huku una kiumbe ndani.
 
Cocktails nazo naonaga miyeyusho tu ...yaan ni no stimu sijui kwa ajili ya barafu zile
Inategemea na aina ya cocktail. Nyingine hata bila barafu unakunywa fresh kabisa. Nikienda sehemu staji kulewa nakunywaga cocktail tu
 
Back
Top Bottom