Mimi ni msichana umri wangu miaka 22 niko Mwanza tatizo langu ni hili kila nikiamka asubuhi najikuta nimechanjwa na kitu kikali kama wembe. Tatizo hili lilianza baada ya kupanga nyumba maeneo flan hivi hapa mjini nilishi kama miezi miwili hivi ndio mambo yakaanza kila siku nikiamka najikuta nimechanjwa sehemu mbalimbali za mwili baada ya kuona mambo yamenishinda nikaamua kuhama na kuacha kodi yangu ya miezi nane niliishi miezi minne tuu baada ya kuhamia nyumba nyingime nimeishi kama mwezi mmoja hivi lile tatizo limeanza tena kiukweli nakosa amani sina raha kabisa sijui ni kitu gani hiki.
Nilikohama ndio Kilimahewa kwa sasa niko UngujaDah pole sana, ni mitaa gani hiyo dada angu? Kama ni mitaa ya Rufiji,mji mwema, k/hewa pole sana. Ukihamia huku kiseke hakunaga hiyo.
Au nenda kwa Laurent Magike namuaminia sana yule mzee, sikiliza 103.3 Living water Fm
Nilikohama ndio Kilimahewa kwa sasa niko Unguja
Nafanya kazi kwenye taasisi moja hapa mjini kwa hiyo huwa naamka asubuhi naenda kazini mpaka saa tisa ndio narud nyumbani nikirud huwa nakaa ndani kw sababu huwa sipendi mazoea na majirani. Sijui ni kitu gani
Pole kwa hayo angukia imani yako na hakika muumba hatokutupa!!!!
Lakini na wewe msichana wa miaka 22 tu hutaki kushirikiana na majirani kwa nini??????Sihusianishi moja kwa moja na yanayokukuta ila huu si mwanzo mwema kwako,kaa kwa busara na wanaokuzunguka upate kujua mila na desturi zao hapo
Dah hapa ninapoishi nyumba zko mbalimbali kdogo hazna mwingiliano kwenda kutafuta mazoea utaonekana waajabu
Nafanya kazi kwenye taasisi moja hapa mjini kwa hiyo huwa naamka asubuhi naenda kazini mpaka saa tisa ndio narud nyumbani nikirud huwa nakaa ndani kw sababu huwa sipendi mazoea na majirani. Sijui ni kitu gani