JF ni Zaidi ya Chuo!

Gates

Member
Joined
Jan 18, 2011
Posts
48
Reaction score
4
Namshukuru sana mwenyezi Mungu kwa kunijalia muda huu wa kuandika machache kuhusu JF.

Kusema kweli, kutokana na mafundisho ninayopata hapa naamini utakubaliana nami kwamba JF ni zaidi ya mtandao wa kijamii!

Hata hivyo, natamani sana kama wengi wangepata nafasi ya kujiunga na kuchangia mawazo yao kwa faida yetu wote na taifa letu kwa ujumla. Ningependekeza uwepo mfumo wa kusambaziana habari na kuwaalika watu wengine waweze kujiunga kupitia e mails za members kama mitandao mingine mikubwa kama FB.

Mtandao wetu wa JF unatisha na labda nikiri hapa kwamba binafsi bado sijaona kama JF. Hongereni sana waanzishaji.

Pamoja tutaijenga Tanzania!
 
Nakubaliana nawe,hiki ni zaidi ya chuo,nafurahi hakuna mitihani!
 
For me I have a different opinion...it used to be, but right after election there is a lot of confusion and alliances...

We need to separate emotions with facts..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…