JF ni tamu kama ngono

si kila anae post ana post Usiku.
wengine huko makwao ni mchana .
 
Mmmmmh mashikolo mageni
 
Mie mbona mgeni humu....mambo mapya mapya tu

ngoja niende mafunzoni kwanza
 
Wewe mpare una tabu sana. Nadhani wewe wa mlimani mpakani na wasambaa.
 
Mhhhhhh hivi hakuna kitu kingine chenye thamani ya utamu zaidi ya ulichokianisha mtoa mada?
Ngoja na mie nilale sasa niwaachie popoz JF yao

dada nakushauri achana na kupenda vitamu!
 
Kaka ungeniuliza kwanza vitamu kwangu ni vipi?
Mimi cha kwanza ni Korean Series, naachaje sasa?
kama hivo ni sawa! utanfundisha kupenda Korean Series, na baaadae unipe nikaangalie1
 
Na ashukuliwe sana Muumba kwa kugawanya utamu kwenye vitu mbalimbali kama muwa n.k la sivyo tungeuwana na kuchinjana kama utamu ungekuwa eneo moja.
Kwa maana hiyo, wale wanaouana hawajawahi kufahamu kuwa kuna utamu zaidi ya ile sehemu moja wanayoifikiria wapo? Au huwa wanajiwehusha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…