JF na nicknames.......

@SL and byshernger, acheni kutongozana hadharani, get a rum, oyah!

wee Gchokest, nina bonge la pikipiki nakata mitaa kiulainiii
 
ha ha ha ...... Hiyo nick name bana...ha ha ha.... nway no wonder ulipotea for about an hour..

Mi nilidhani uko na tairi nne... Kumbe uko na mbili....
Mi nilienda kumtembelea Lizzy kule massage ndo nimerudi hapa one time..
 
@SL and byshernger, acheni kutongozana hadharani, get a rum, oyah!

wee Gchokest, nina bonge la pikipiki nakata mitaa kiulainiii
Khaaa! Kongosho thibitisha au kanusha ulichoandika kabla sijaomba mwongozo kwa PAW! Wapi umeona tumetongozana na Bishanga?
 
Anamaanisha anawaonea wivu!! Hakuna haja ya kuwasiliana na PAW wewe dunda tu na bishanga wako, kama vipi mpotezee!!
 
Hahaha! Asante kwa kunishitua!.. Ukimuona kongosho popote alipo mwambie wivu ni kidonda na akishiriki atakonda...
 
si nimekuona umelegeza jicho kweli akati byshernger anakutengenezea colar ya blausi

afu akakuambia uwe unavaa za ku-pimp

afu kwa nini hukumuuliza kachomoa shati ghafla?

Khaaa! Kongosho thibitisha au kanusha ulichoandika kabla sijaomba mwongozo kwa PAW! Wapi umeona tumetongozana na Bishanga?
 
@kigarama, hivi uliwaona walivyokuwa wanafanyiana hadharani???

Sina wivu, nimeopoa toto la nguvu. 🙂
 
mi nilikuwa nakustua
ili nikusitiri kwa kaizer na paw
shauri ako
kiga anataka uaibike

Hahaha! Asante kwa kunishitua!.. Ukimuona kongosho popote alipo mwambie wivu ni kidonda na akishiriki atakonda...
 
@Figanniga ....... mia.mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…