Hata mimi application ilishagomaga kabisaaa. Nna mpango wa kuhamia kinyumba kwa Maxence Melo manake nshachoshwa.
maxence melo nayo ni forum nyingine mkuu? tujulishane bana huenda ikawa mbadala wa jf
Ni kweli kwa applicatolion ya android haifunguki ikahidi ni download mozila na chrome ndiyo nikaanza kuipata tena.Hata mimi JF app Android haifunguki vilevile JF tapatalk.