Jf members woooote, mnakaribishwa!!!!

hongera sana STIDE nakutakia kila la heri kwenye maandalizi ya ndoa na harusi yako. Siku muhimu sana. Karibu chama cha wakubwa

cc Mentor mwekundu.......mjitahidi na nyie, sio kila siku kusalandia wake za watu tu
 
Last edited by a moderator:
mkuu mimi ningekuchangia ila inaonekana wewe hutashukuru hata kwa mchano wangu huo! maana hujawahi hata ku appreciate mchango wa mtu humu na kumpa like! duuu! anyway harusi njema!
 
Hongera sana, Mungu awalinde na kuwaangazia maishani mwenu siku zote.
 
wish u the best.......mtegemee sana Mungu katika maisha yako ili ndoa yako idumu milele.
 
Mungu awalinde kabisa,mvumiliane na kupendana hadi mauti iwatenganishe.
 
Ukumbi upi? na je tunachangia kiasi gani kufanikisha harusi yako?

Hvii wahaya wanachangishaga harusi???maana mostly of them ni mapedesheee! Asante kwa mwaliko tutakuja na mv victoria from Mwanza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…