JF ladies talk talk …...

 
nani alikuambia tukiokota vitu tunainama!vina staili yake weweeh,mtoto wa kike haruhusiwi kuinama hadharani,eboo!kwani ushazamia kitchen party ngapi?endelea tu kuna siku utaelewa hizi mambo zinakuwa aje,lol!
<p> </p>
<p>&nbsp;</p>
 
Kin'gast karibu dukani TF Kakuwekea vyombo unaona halafu uje ukuchumbani changing room nikupe bei!
 
FL mie pia mwenzenu...

Mi napenda weupe jamani kwa hiyo nimejichubua kiasi, ila nipo kwenye mchakato wa kumeza kidonge mana ile kidogo haisumbui sana kama mikorogo maana kuna wakat wakongo wanatuchanganyia vitu ukipaka yaan uso unababuka mpka uvizoee au ukanunue vingine.

Napenda sana make-up hata mchana siwezi toka ndani bila hiyo kitu, nyusi kubandika ni maisha yangu, wanja unapanda juu kdg ndo unakata kona, lipstick kama kawa, kubandika kucha ndefu kiasi mguuni na mikono, nywele ma wig na wiving mana nina kipilipili cha nywele, napenda vito vya rangi ya gold sana (hat kam si original gold) yaani heren kubwa, cheni pana hiv.

Nguo napenda, batiki au dira zikiwa zinang'aa napenda zaid navaa muda wowote na hazinishiki mwili kabisa, maana nimejaliwa sana nyuma ki ukweli, huwa sipend usumbufu njiani hhahahahahah

Handbags napenda zenye rangi rangi nyingi maana na huwa huwa na match na madira yangu.

Perfum napenda zenye harufu kama ile Kuluthum ila si kali sanaaa.

Yaani kifup ukikutana nami njiani utanipenda tu, maana kila wakat nipo kama naenda kwenye part vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…