Jf kwa aliye Mwanza/Shinyanga

raamar

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2014
Posts
252
Reaction score
23
Habari wandugu,natafuta Marafiki wa kubadilishana nao mawazo,umri 18-27.Jinsia yoyote sibagui,nicheki nw
 
wapi Shy land anatafta wa shinyanga huyu
 
Last edited by a moderator:
Habari wandugu,natafuta Marafiki wa kubadilishana nao mawazo,umri 18-27.Jinsia yoyote sibagui,nicheki whastApp 0718388638

We si useme tu unatafuta wadada wa kuwatongoza bwana! Mawazo gani yatakayobadilika hapo!!
 
Siwezi kuchat na mwanaume ninayemzidi kipato, atanieleza kitu gani? agalau tuwe tumeligana tutapanga mikakati ya kuongeza kipato.

Unajuaje kama unamzidi kipato au wewe ndo tajiri wa kanda ya ziwa? Watu wenye dharau kama ninyi sijui kwa nini huwa mnafanikiwa.....kwa hiyo wewe level zako sasa hivi ni akina Bakhresa....wow hongera shemeji.
 
Unajuaje kama unamzidi kipato au wewe ndo tajiri wa kanda ya ziwa? Watu wenye dharau kama ninyi sijui kwa nini huwa mnafanikiwa.....kwa hiyo wewe level zako sasa hivi ni akina Bakhresa....wow hongera shemeji.

Khantwe shemeji mara nyingi watu wanaotafuta watu wakuchati kama hawa ni mafukara wakutupwa, hata mungu kawanyia kwa tabia yao yakutokufanya kazi, anakalia kutafuta wabeya mwenye akili kama zake ili afanye ubeya vizuri, wana mipango mingi lakn utekelazaji sifuri,

mimi siwezi kuchati na watu wa namna hiyo labda yeye tumuulize ana kipato gani?
 
Last edited by a moderator:

Ooh....hongera
 
Last edited by a moderator:

acha dharau Shy land mm ni boy na kwa taharifa yako haunizidi lolote kama unabisha nambie upon shy sehemu gani au nitafute kupitia hzo namba au njoo nilipo old shy then uone umaskini wng
 
Last edited by a moderator:
acha dharau Shy land mm ni boy na kwa taharifa yako haunizidi lolote kama unabisha nambie upon shy sehemu gani au nitafute kupitia hzo namba au njoo nilipo old shy then uone umaskini wng

ndgu yangu zijamanisha kukudharau, au mimi sijasema kwamba wewe ninakuzidi kipato mimi natafuta watu wa kuchati nao mwenye mawazo ya kimaendeleo na kuinua wingo wa mirandi, ambacho kwenye maelezo yako hujaandika kwamba unahitaji kuchati na watu wa aina gani? je mtazugumzia nini katika chating yenu hayo maswala hujayaweka wazi. thanks
 
Last edited by a moderator:

sasa si ndyo yalikuwa mambo ya kuuliza hayo,nakushangaa Mara oooh uwezi chati na mtu nnae mzidi kipato,Mara c chati na mtu asiye na pesa,mara watu kama hao ni mafukara wa kutupwa duuuuuuh khaaaa yaaaani,haya bwana Shyland
 
Last edited by a moderator:

Ww shy land Acha kujiona ww ni (superior) zaidi ya wengine kumbuka tumeumbwa na Mungu mmoja na kwa mfano wake

vp unatuthibitishia ufukara wake :what::what: na una uhakika gani hafanyi kazi ,,, hivyo anavyomiliki ww ndy ulimnunulia ama Kumpa ??

Note: Tuache tabia ya kujiona Miungu watu kwa kuwa tumejaliwa kitu
,, Dunia ni mapito na vyote tulivyonavyo ni fahar ya macho tu
 
Last edited by a moderator:

ana nn hyu kaka c nimemwambia aje home kwangu then aone umaskini wng mbna hataki?,shinyanga kwenyewe bora hata kijichi ya DSM,nimekuja kufanyakazi tu huku cwezi kukaa huku mm,mkoa hauna hata taa1 ya kuongozea Gari,khaaaa,mwambieni aje home hyo Shyland
 
Last edited by a moderator:

Hiyo dar es salaam unayoizugmzia haiwezi kufanana na maisha mazuri ambayo yako huku shy land.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…