Mhdiwani
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 650
- 712
Habari za siku nyingi wadau kwakweli maisha yalikua magumu sana bila Jf
Nimpongeze melo na jopo lake kwa kuirudisha hewani
Lkn kama kawaida kufa ni kufaana
Baada ya jf kufungiwa Kuna baadhi ya member ambao sio waamibifu walianza kufanya mambo ambayo sjayapenda
Kwanza nilistuka baada ya mtu anaejinasibu kua ni mbali wa kutunga riwaya na watu walimsifia sana kule Fb
Na riwaya inayompa sifa mpk sasa ni riwaya ambayo mdau wetu mkuu hapa jukwaani
Steve mollel ndo aliitunga inaitwa Anga la washenzi
Sjakataa mtu kushea story lkn mpe heshima alietunga kama mdau mmoja anaitwa Shunie hua anaweka jina la mtunzi
Sshv anataka kuweka group WhatsApp ili watu walipie ,,.
Hii sjapenda na nikamuuliza vp naweza kumpata mtunzi wa hii hadithi akasema Ndio akanitumia Namba zake yeye
Mwisho kbs niwaombe ndugu zangu tusifanye hivyo hii dhuruma