Jf: Hujashtukia? Tunapungukiwa hiki

Amoeba

JF-Expert Member
Aug 20, 2009
3,289
781
Katika maisha yangu wafupi hapa JF nimekuja kugundua kuwa tunahitaji chatroom (au kama ipo labda ugeni wangu!). Sababu kuBwa kabisa ni kuwa Mtu anaweza kuanzisha thrread yake, lakini baada ya posti kadhaa watu wanaanza majibizano mengine kabisa ambayo hayamsaidiii muhusika!!....wengine wanafikia kutukanana matusi kwenye thread ya mtu, tofauti kabisa na mada inayojadiliwa. Sasa ili kuepusha haya, naona kuwepo uwanja wa watu kupeana kichapo LIVE ili kupunguza hasira (CHAT). Au mnaonaje wakuu?

Nawasilisha kwa heshima na taadhima, itifaki imezingatiwa.
 
Back
Top Bottom