Yeyote nipe nambana,Kamanda upo vizuri
Kwenye flow/
Lyrics haujakariri
Kama yule bro /
Je upo tayari
Kwenye hii show?/
Sema upangiwe mtu wa kubattle naye
Hutafanya poa kama utaniweka kwenye list/Bro mi ni noma
Kwa Mitindo huru /
vina vyangu homa
Uliza uchagan hadi mbulu/
Wana wananisoma
Usijilengeshe mi siogopi kukufuru /
Ok nikuweke kwenye list?
Hehehe!![emoji16][emoji16] hivi haujui huyu ni shemeji yako eeeh... mpo watatu akipatikana wa nne round itaanza
yeah, am all in dude,Yes, my check one two
Guess may I check who's true!
Vipi upo kwenye battle?
Hapa tunataka awe na mvuto,Shemeji yako aseeh...anakusalimia nipo naye hapa
Powa sana.Poa poa mzee.. bado mmoja tuanze.
Wakuu tuanzeni session.. mliotajwa anzeni. Mada ni MMU zamu yetu wengine itafika cha kufanya tupige kura tumchague mkali.Jf/kichefu chefu
Forum zimeingiliwa na wageni CIO wazoefu/ wa hm wa kuzaliwa wenye uchungu na JF yetu,
Mapenz yametawala/ washenz wapenda masiara/wakweli tumesimama imara kwenye msafara/ mada zenye kutoa elimu viewers wachache /mada zenye udhinifu wasiojua maana ake/wana comments zisizo na dira/wana forget hata wale wasio na hila
Hapa tunataka awe na mvuto,
Usije ukatuletea wana kituko,
Kwa stori za kijasusi,namkubali the bold.
Dp yake yaakisi,ufanano na jemsi bond.
Wamzidi ray kigosi,the bold aka the gold.
Nsipo kutaja pls usinichukie,
Wanajamii mpo wengi so usininunie,
Chakusema nacho msinipangie,
Huu uzi uko poa so mods msiufungie,
Ukipata like jf shukuru Mungu,
Wengine kila nyuzi ni kukoment majungu,
Mwanafunzi mweupe au whitedent,
Nani wa kuchana to this extent,
Wether am too good or even excellent,
I move like electrons in the element,
Natoa simu mfkoni nakutana na post ya daby/
Naiwaza namna ya kuijibu ooh my gad/
Kabla ya yote naanza kucheki walio reply/
Nakembetwa katudis mathinkers I don't know why/
Weka thumbs up kwa HIV vina tena usisite/
Kwasababu ntakuona zero km d.bashte/
Nikuweke kwenye list mkuu!ok nkushukur sana mwana j.forum,
kwa kunipa hii kitu japo na mm nitoe hamu,
ya mizuka ya kufreestyl hum hum
then ntaenda slow,slow sio kigumu,
ni pinch tamu tu,zitazokutoa faham,
na kama dem njoo getto,tufanye kufuru
kam ni man sio mbay kutambian misuri,
ila nakup freestyl kali,tamu pilipil,
uchung wa kuzaa changu hawez ufeel,
hivo tulia hpa jf nikustimulat akili,
littlbit we mwenyew utakill,
napat mia math,cwez gonga sifuri
ama kufrg maish,niish kibashite
oohoo tulia tulia tuli,then kiti uvute.
yeaah do it mkuuNikuweke kwenye list mkuu!
Niweke kwenye Listi ila so ya Makondaa,Nikuweke kwenye list mkuu!
Ahaaaaaaa mkuuu umetishaYooo yooo yooo
Ndani ya jf kumejaa mathinkers, lakini wanamezwa na masinkers
Unaweza uliza swala na maana, lakin unaonekana una laana
Thread za pumba, ndio zinatambaa
Hivi wana jamvi mmejiuliza, kwann mnapenda kujadili mauzauza?
Bongo tuna rais wa ujenzi, hata nzi akiacha ujinga asali hatengenezi?
Viongozi nao wanataka miongozi, najiuliza hawajui uongozi?
Jf ndio nyumbani, ndio wangu wa wa ubani!