Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
Nice words1.pindi ninapotubu Kinachonifanya niamini kweli nimesamehewa hua najisikia mwepesi sana rohoni halafu nakua nina amani na furaha sana sihofu kitu. (Enlightenment) Tarehe 4 mwezi wa 4 2015 nilitubu ilikua mkesha wa pasaka Nilitoka kanisani nikiwa nina amani tele na sikuogopa kupita kwenye msitu mkubwa ulipo pembeni ya jimbo letu.
2. Mkuu maishani mwangu siku zote hua nina expect worse things wakati nasubiria Best things.. Kwa mantiki hiyo naweza kusema nachukulia 50 kwa 50 % hivyo najitahidi asilimia hizo 50 za kwenda motoni nizipunguze ziende kua peponi. Maana kwenda peponi it's so simpo.. Ni Utii tu!
1. Nikiwa na sehemu yangu ya kukaa na kujimiliki mwenyewe
2. Having kids and Family
3. Kutengeneza mifumo ambayo itasaidia watu wenye uhitaji mbalimbali.
Nikifanikisha haya matatu nitajiona nimefanikiwa..hata nikifa nitakufa sina kinyongo
Amina Amina mkuu!
Thanks for Appreciation
Moja kati ya mafumbo makubwa sana hapa jamvini huwa ni ID's za watu, ID hizi mbali ya kuwatambulisha membaz lakini pia hubeba maana fulani.mojawapo ni hii ya miminimkulimaakachekasana ina utata mwingi ambao pamoja na kujaribu kumuuliza muhusika sina hakika kama alishawahi kujibu, Da Vinci kama Da Vinci kwa muono wako na fikra zako tu za haraka haraka unafikiri maana yake hasa ni ipi? Da'VinciMkuu unadhani corona itafika tanzania?
(Jibu kama leo ni 14 February 2020)
Kwa jina lake hilo the first day naliona nilisema kua "inwezekana kuna mtu alimpenda akamwambia hisia zake za upendo na kumueleza shughuli inayompatia kipata ambayo ni kilimo. So mdada huyo akamcheka labda kutokana na class yake hawezi kua na mkulima (mdogo) so hiyo disappointment ikabaki kichwani mwa huyu mshikaji wa humu. Ndio maana ikabidi atumie as id"Moja kati ya mafumbo makubwa sana hapa jamvini huwa ni ID's za watu, ID hizi mbali ya kuwatambulisha membaz lakini pia hubeba maana fulani.mojawapo ni hii ya miminimkulimaakachekasana ina utata mwingi ambao pamoja na kujaribu kumuuliza muhusika sina hakika kama alishawahi kujibu, Da Vinci kama Da Vinci kwa muono wako na fikra zako tu za haraka haraka unafikiri maana yake hasa ni ipi? Da'Vinci
.
Kinachofanya nimudu English Vizuri..Umesoma Kayumba na hukufanikiwa kufika A-level ukidai ya kwamba ulifeli kidato cha nne(kwa mujibu wako), Je kipi hasa kimeweza kukusaidia kumudu Lugha ya kiingereza katika kiwango kinachoridhisha?
Maana wanakayumba twazijua vizuri shule zetu.
Mimi hua natumia App hii kupata vitabu mbalimbali..Hata kama unahitaji Novel zile kuubwa kama A game of thrones unapata hapo..Mkuu kuna application yoyote ambayo inaweza kunisaidia kusoma vitabu especially vya saikolojia?!
NB:kuna kitabu kinaitwa "how to control mind and stress free" kimeandikwa na mhindi(simukumbuki jina) nilikisoma kwa mwalimu o level bahati mbaya sikukimalizia.Ndio maana nmekuja kwako kuulizia app. Ya kusoma au kupakua vitabu ili nkimalizie(mwalim aligoma kuniazma mwaka ule so sikumalizia)
Nimemrudisha Davinci wenu wa zamani. Samahanini kwa kuwavunja moyo..Nataka nianze kurudi JF Intelligence na kuanzia leo huko ndio nitakuaepo zaidi kama ilivyokua mwanzo.Pia mkuu nilikuwa naomba kitu kimoja mimi kama follower na fan wako.
Nilishituka sana nilivoona sasa ivi na wewe unabisha na kufungua nyuzi kabisa rahisi rahisi za kina Ali kiba na Diamond, mkuu yale mambo nilikuwa naomba uwaachie kina robidinyo na wenzake yaan huendan nayo kabsa na wala haya kufit, iliniskitishaa
Huko MMU waachie kina zero IQ , watu kama nyie ndo mmefanya tukafungua account JF , dont dissapoint us anymore please
WE NEED OUR DA'VINCI BACK
Sina career yoyote ambayo nime specialize. I wish niwe kwenye IT.Mkuu Da'Vinci umesema huna shughuli rasmi uifanyayo, ie huna career ambayo ume specialize, Je wajipatia vipi kipato cha kuendesha maisha yako?
Asante sana mkuu na iwe hivo
Nimemrudisha Davinci wenu wa zamani. Samahanini kwa kuwavunja moyo..Nataka nianze kurudi JF Intelligence na kuanzia leo huko ndio nitakuaepo zaidi kama ilivyokua mwanzo.
Samahanini sana kuwavunja moyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuu na iwe hivo
Nimemrudisha Davinci wenu wa zamani. Samahanini kwa kuwavunja moyo..Nataka nianze kurudi JF Intelligence na kuanzia leo huko ndio nitakuaepo zaidi kama ilivyokua mwanzo.
Samahanini sana kuwavunja moyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi hua natumia App hii kupata vitabu mbalimbali..Hata kama unahitaji Novel zile kuubwa kama A game of thrones unapata hapo..
Hiyo niliyozungushia duara..Ebook readerView attachment 1425325
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi hua natumia App hii kupata vitabu mbalimbali..Hata kama unahitaji Novel zile kuubwa kama A game of thrones unapata hapo..
Hiyo niliyozungushia duara..Ebook readerView attachment 1425325
Sent using Jamii Forums mobile app