Kijana ongera Sana una uwezo mkubwa.
Je uwezo na maarifa ulio nayo yanakusaidiaje kwenye Maisha yako ya sasa? Vitabu unavyo soma na vitu unavyo fanya kila siku vya kukufanya ufikilie vina impact gani kwenye Maisha yako ya sasa?
-Nime kuuliza ivo kwa sababu nami ni kijana wa lika lako miaka yangu si zaid ya 21 kuna wakati nilipenda sana mambo ya computer especially coding nalifanya sana tena kwa uwezo mkubwa tu(c++ lugha yangu pendwa) baadae niliviweka pembeni hayo mambo kwa kuwa sikuona faida yake kwenye maisha yangu ya baadae japo nilifanya kwa uwezo mkubwa..
Je wewe vitu vinavyo chukua sehem kubwa ya muda wako kwa sasa ndio future yako hapo baadae?
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu hua wanasema uongo kwa sababu hiziUnafikiri kwanini watu huwa wanasema uongo ?
Namimi niweke kikaangoni mkuuKama kawaida ya kikaango kutoka JF hapa tunamkaanga member mmoja kila siku maswali ya kistaarabu na majibu ya kiprofessional Zaidi.
Kwa leo tutakuwa na Ndugu yetu Da'Vinci kama guest,uliza swali lolote unalotaka kujua kutoka kwake na taaluma yake kwa ujumla.
Nb;
Tafadhari zingatia kutumia Lugha ya kistaarabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani wa zamani alikua smart kulikoWhat are you missing there??
the old innocent Vinchii or?
Huyu wa sasa ni Kit Harington kacheza series ya Game of thrones Anatumia jina la Jon Snow. Kabla nilitumia picha ya T.IEty Da'vinci ile avatar ya kwanza ni ya nani ? Na hi ya pili ni nani ?
Muda wote mkuuKesho mkuu utakuwa na muda saa ngapi
CC Zero IQ
Da Vinci ninini kimeshusha uwezo wako wa kutema madini humu Kama zamani?Huyu wa sasa ni Kit Harington kacheza series ya Game of thrones Anatumia jina la Jon Snow. Kabla nilitumia picha ya T.I
Hakijanishusha uwezo, uwezo uko pale pale..Ila nimeamua ku stop kuandika vitu humu kwa sababuDa Vinci ninini kimeshusha uwezo wako wa kutema madini humu Kama zamani?
Nina sababu kadhaa..Vipi ukapenda jina hilo na sio lingine ?
Ni kweli..Kujichanganya sana na watu kumeshusha thamani.MMU has corrupted some of the system files in the CPU.
Aisee labda uniambie uvivu na kukosa laptop ila kuhusu mwamko wa wasomaji hapana.Hakijanishusha uwezo, uwezo uko pale pale..Ila nimeamua ku stop kuandika vitu humu kwa sababu
Any Questions?
- Natumia muda mwingi na gharama kubwa kuandika maana sina laptop hvyo hua naenda I.Cafe pengine nakua sina pesa ya kumudu hilo.
- Negativity na mwamko mdogo. Humu ukiweka mada watu wanatafuta sehemu iloyo negative tu ili wakukosoe na kukuyoa nje ya mada kiukweli inavunja moyo sana..Pia wengi hawana mwamko wa kusoma vitu vigumu wanapenda mapenzi ndio maana nami imenibidi nijichanganye Mmu.
- Sometimes naona uvivu, nina vitu vingi vya kuandika sana hapa nilipo ila uvivu dahh
Inawezekana kweli mkuu..Kutokua na Laptop ndio kinaleta uvivu. Napenda kuandika nikiwa na Pc nitaandika amost kila sikuAisee labda uniambie uvivu na kukosa laptop ila kuhusu mwamko wa wasomaji hapana.
Katika nyuzi Bo za muda wote nadhani ile ya kwako ya uchoraji na uchongaji wa kina Michelangelo ilishawahi kuchaguliwa kuwa moja kati ya nyuzi Bo sana jf.hivyo kigezo cha kuwa kuna mwamko mdogo sidhani kama ni kweli .
Pili hujatutendea haki cc fansi wako sababu ulizotoa ni ndogo mno kukatisha furaha ya walio wengi
Mara ya kwanza nilikua natafsiri post kama wengine wafanyavyo. Nikaacha maana naamini na nina mengi ninayoweza kuandika bila kuangalizia post za watu. So kuanzia 2019 nimekua nikiandika mawazo yangu. Ila vitu vingine hua nakua inspired kuandika kutokana na muvi nazotazama.Nafatilia post zako nyingi humu jf zipo makini sana. ila nilitaka nijue unatumia source ipi kuchimba na kujua vitu adimu kama vile ?