Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
Lakini sasa hivi waipige chini hata mwezi tuWale wa JF usiku wa manane tukutane saa tisa [emoji16]
Kwann asiulizwe mulaga mwenyeweKwa nini Musiba anamhusisha mkurugenzi na harakati za kisiasa?
Waiweke hii kitu kwa app pia pawe na urahisi katika ku-mention/ku-tagAhsante kwa taarifa. Jambo lingine kwa sisi tunaotumia website unapo taka kumtaja mtu kwa kuanza na alama '@' zinakuja suggestions za kutosha(jambo jema)
ila unapo taka ku scroll down ili upate jina unalilitaka ile list ina vanish je kunaweza kuwa na namna nyingine ya kuboresha hilo? Kama sijaeleweka sina nmna nyingine ya kueleza.
Vinginevyo nawapongeza kwa kazi nzuri.
Kuna kipindi nilikua addicted na jf tangazo kama hili lilikua linaniumiza sana...Lakini sasa hivi waipige chini hata mwezi tu
Mkuu Mimi kubadili picha kwenye Avatar imegoma kabisa, nmejaribu kutumia opera nayo imenigomea.Kwa saa 1 au pungufu ndo mtu alale?
Mungu ibariki JFWakuu,
Tunatarajia kati ya saa 7 kamili usiku hadi saa 8 usiku wa leo (1:00am - 2:00am) kwa muda wa Afrika Mashariki kutakuwa na downtime (kutopatikana) kwa Mtandao wa JamiiForums ambayo imepangwa kwa ajili ya kuimarisha zaidi miundombinu yetu na kuboresha mambo kadhaa katika miundombinu.
Mabadiliko hayataonekana kwa macho bali experience ya JF upande wa ufungukaji (kasi) ndo itaongezeka.
Tusingeweza kufanya mabadiliko haya makubwa bila kwenda offline kutokana na sababu zisizoepukika. Mabadiliko mengine ya kimwonekano na upande wa app yatafanyika bila ya kwenda offline kabisa.
Tunawashukuru sana kwa uelewa wenu
Lisaa li 1 la usiku si sawa naKwa saa 1 au pungufu ndo mtu alale?
Hivi niongee mara ngapi tatizo langu la notification
Nme mpm hadi Maxence Melo huu ni mwezi wa nne
Hakuna kinachoendelea
Au ndo wateja tunahudumiwa kwa matabaka
Am. So pissed off.... Yaani natamani nlifute hata hili li app