wewe sio platnum member so tulia tulia kidogoHivi niongee mara ngapi tatizo langu la notification
Nme mpm hadi Maxence Melo huu ni mwezi wa nne
Hakuna kinachoendelea
Au ndo wateja tunahudumiwa kwa matabaka
Am. So pissed off.... Yaani natamani nlifute hata hili li app
Kwa nini Musiba anamhusisha mkurugenzi na harakati za kisiasa?Wakuu,
Tunatarajia kati ya saa 7 kamili usiku hadi saa 8 usiku wa leo (1:00am - 2:00am) kwa muda wa Afrika Mashariki kutakuwa na downtime (kutopatikana) kwa Mtandao wa JamiiForums ambayo imepangwa kwa ajili ya kuimarisha zaidi miundombinu yetu na kuboresha mambo kadhaa katika miundombinu.
Mabadiliko hayataonekana kwa macho bali experience ya JF upande wa ufungukaji (kasi) ndo itaongezeka.
Tusingeweza kufanya mabadiliko haya makubwa bila kwenda offline kutokana na sababu zisizoepukika. Mabadiliko mengine ya kimwonekano na upande wa app yatafanyika bila ya kwenda offline kabisa.
Tunawashukuru sana kwa uelewa wenu
πππππKwa nini Musiba anamhusisha mkurugenzi na harakati za kisiasa?
Ahsante kwa taarifa. Jambo lingine kwa sisi tunaotumia website unapo taka kumtaja mtu kwa kuanza na alama '@' zinakuja suggestions za kutosha(jambo jema)
ila unapo taka ku scroll down ili upate jina unalilitaka ile list ina vanish je kunaweza kuwa na namna nyingine ya kuboresha hilo? Kama sijaeleweka sina nmna nyingine ya kueleza.
Vinginevyo nawapongeza kwa kazi nzuri.
Hivi niongee mara ngapi tatizo langu la notification
Nme mpm hadi Maxence Melo huu ni mwezi wa nne
Hakuna kinachoendelea
Au ndo wateja tunahudumiwa kwa matabaka
Am. So pissed off.... Yaani natamani nlifute hata hili li app