Preta mi sijawahi kua couple na Ivuga.
Ivuga yuko na Aminata9 (but alitaka kuleta utundu nikamtuma kwa Uncle).
Paw yuko na King'asti.
Mi nitakuja muda si mrefu kutangaza niko na nani,
naenda kumuuliza kama yuko radhi niweke hapa.
Eeeh bana eehh.....
napenda kuchukua fursa hii kutambua uwepo wa pea ziliopo humu ndani.....
kutokana na uzi huu........https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/55860-couples-za-jf-ni-hizi.html....naona wengi wapo chali.....nikimaanaisha wameachwa/acha...fumania/fumaniwa na hata wengine ni wajane...
Well.....sio ishu....hebu tucheck hii...
1. Husninyo + Judgement (baada ya Uporoto kupigwa chini)....
2. Cantalisia + Rejao (hii ni baada ya kumkwapulia Smile).....
3. Taijike + Excellent (wapya hawa).....
4. Erickb52 + Amyner (kama #3)......
5. Mwali + Ivuga (japo Ivuga kamkimbia Mwali).....
6. RussianRoulette + Paw (mmmh)....
7. Preta + Mtu Chake (japo TANMO anataka kuvuruga)......
8.
9.
Nani nimemuacha......
Am single but looking
Am single but looking
uongo mkubwa....he is my sweet caramel......
Mtu Chake hana chake tena..
Uongo, uongo?
dah ina maana mimi sina kitu?
We wa kwako INVISIBLE..dah ina maana mimi sina kitu?
Hahahaa namwona Kibweka nae anavizia....The same here,
Vivian + Tanmo sounds perfect, huh?
japo najua Preta ataleta wivu wake hapa... lol
We wa kwako INVISIBLE..
Am single but looking
dah ina maana mimi sina kitu?