Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,907
- 172,806
aaaah wapi!!!! Nilimtoa mimi, kama alikudanganya ana birika basi alitumia mchina
Nani kakwambia mahawara wanaachana?
Wewe uliingilia penzi langu tamu.
Mpashe huyo!
Kuja na kuja tu kafikia juu ya kifua ch mume wangu.
Nakutuma ukamwambie, aniachie mume wangu.
we endelea kumuita shemeji tu ngoja j'mosi ifike
Lady doctor muache shemeji angu!!!!
nilisema mie timbwili ndo hili sasa, na hapa ni nusu tu ngoja hiyo jmosi uone timbwili kamili!!!
Kama kweli wewe demu wake, jaza hyo desh desh.
Slave nimecheza nae kombolela na ndo tulitoana huko...
we umekutana nae ana meno yake 33 umemtolea wapi?
nilijua Arushaone ni mtamu ndio maana nikajipenyeza kwa nguvu zote kwenye mtima wake na habanduki ng'o
nini kombolela, wakati mie nilicheza nae kibaba na mama wakati meno ndio yanaanza kuota tukafanya kweli
Tenyaaaa...
Mpashe huyo!
Kuja na kuja tu kafikia juu ya kifua ch mume wangu.
Nakutuma ukamwambie, aniachie mume wangu.
hahahaaa naa bado nitawasomba wote, sasahivi Chimbuvu na Arushaone wapo kwenye imaya yangu now nafanya mpango wa kummendea Ben Saanane na wenzie
Shoga angu, hapa timu haiuzwi.
Kama soksi hakuna tutacheza hata peku.