nitonye
nitonye
Teh teh mi nashangaa simuoni nkajua kakamatwa na jimama...kumbe ban...lol
Ban asee! Nna machungu ya kufa mtu lol!Teh teh mi nashangaa simuoni nkajua kakamatwa na jimama...kumbe ban...lol
Hehehehe! Ahsante wifi.hehehehe polee
Khaaa! Siamini!bora hata kala ban eti juzi ndo anakuja nyumbani kumuona mama,nilimstahi tu.
bora hata kala ban eti juzi ndo anakuja nyumbani kumuona mama,nilimstahi tu.
nitonye
ha! SL?nitonye
mmmmmhhhhhh!!!! Wahaya siku hizi nao wanajua limbwata?Ban asee! Nna machungu ya kufa mtu lol!
Umemsahau......kama ulikuwepo..nilikuwa nasema kuna mtu nimemsahau.
Alokwambia Lizzy kala ban ni nani? By the way ukitaka kula kubali na wewe uliwe,yaani wewe unataka kina bishanga tujikunje na kumwaga burudani halafu wewe,kama ulivyosema mwenyewe,unapenda kuchungulia vibweka na burudani,mkuu kwani hapa ni sinema kwamba unalipia ku enjoy? Hapa ni nipe nikupe,na wewe mwaga burudani na sisi tufurahi sio ulalamike wadau eti hatuku entertain.
Mie nimeshaanza kuandamana,nipeni tafu wadau.