JF Bongo Flavor duh!

Tripo9

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
4,352
3,533
Baada ya ku-stress siku nzima nimejipunzisha nafungua jf bongo flavor. Wimbo wa kwanza tu ndio ulikua unapiga fresh. Nyimbo zilzofuata zote ni vigugumizi tupu. Nikanga'ngania kuacha miziki hiyo iendelee kupiga zaidi ya lisaa limoja pamoja na kuwa haikua starehe bali ni karaha, nikitumai labda buffering inafanyika na mambo yata-stabilize 'but where'!
Hii ni mara yangu si ya kwanza kuona hili tatizo hasa baada ya vesheni mpya ya jf lakini nikasema inawezekana mamods bado wanafaiti ku-solve hili tatizo.

Je ni kweli bado mods mn(wana)aendelea ku-solve hili tatizo? Tanx :target:
 
Mkuu wakati hili jukwaa jipya linafunguliwa haikuwepo hata hiyo bongo fleva ambayo leo inapiga nyimbo ya kwanza tu.
Mi naamini tuvute subira kila kitu kitakuwa safi si unajua tena marekebisho!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom