JF Beyond Keyboards in DSM what's uuuup?

Mimi ni mgeni wa dar kwa muda wiki tano toka sasa, mkikutana nitapenda kujumuika nanyi.
 
Bora uje huku HQ........mambo si kama zamani........kuna mapya mengi.......tueleze ni lini unakuja rasmi

uandaliwe Valuer chupa 8 na kuku kienyeji choma, chemsha, supu utumbo wa mbuzi.....
 
Naona Arusha Branch ya HQ Dar es Salaam wameanza kuwa na kiburi
 
Likuyu[URL="https://www.jamiiforums.com/members/likuyuseka.html" said:
[/URL]seka;2287260]Mimi ni mgeni wa dar kwa muda wiki tano toka sasa, mkikutana nitapenda kujumuika nanyi.


Mkuu usije na hizi pembe tunaangalia usalama wa watu
 

Duh... mkuu wewe ni nabii, yaani ulitoa onyo kama unajua vile watakupa one month kifungoni

Aisee
 
Kila siku sikuuu, sisi wana JE SACCOS tunakutana nakula bata kwa kwenda mbele. Sijui nyie agenda zenu zilikuwaje? kukutana ili muuziane sura au la?
 
JF Saccoss inaendeleaje?
Naombeni mnipe u-MD!
 
Tunakutana mpwapwa j2, sa 12asbh. Karibuni. Kwa maelezo zaidi wasiliana na husninyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…