JF Bathroom

JF Bathroom

bafetimbi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2018
Posts
1,085
Reaction score
1,754
Wadau bafu ni moja tu na muda wa kuoga ni mmoja hakuna mtu kuoga kivyake..ewe mwanamke wataka nani akusugue mugongo kwa mafuta ya Olive Oil na ewe mwanaume mwenzangu wataka nani akuchane ndevu na akuwekee kichwa kifuani wakati ukimusugua mugongo
 
Najaribu kutengeneza ilo Pozi ambalo Wakati Unamchua uyo Demu mgongo ....nayeye hapohapo anakuchana ndefu na akuwekee kichwa kifuani!
 
sisi ambao tunakaa wiki bila kuoga, zamu yetu ikifika uni-tag
 
Hii ni bidhaa mpya sokoni mkuu kwa kizazi hichi cha pesa mbele.
 
Wakati wa kuogeshana bafuni mara paah cha bafuni kwanza! Mambo mengine yanaendelea
 
Back
Top Bottom