salama wakuu? mimi nilikua na idea kwanini watu watu wa IT tusifanye michakato yakutengeneza ka app ka jf kwenye formats kama jar,symbian,android etc.(kwenye simu) ili iwe haina haja yakuingia kwenye browser. unapata live feeds kutok kwenye hiyo app yetu. ni idea tu wakuu!
mmetafuta hakuna vbulletin app? Binafsi siatafuta lakini step 1 ni kujua database schema ya Vbulletin ambayo ndiyo JF engine. Members wa vbulleting pekee wanaruhusiwa kuiona. Mengine ni mahitaji ya watumiaji na uwezo wa mtengenezaji
JF App kwa smartphone ipo kwenye majaribio kabla ya kutolewa rasmi... Ilikuwa itoke mwezi huu ila ikaonekana kuwa itawalimit watumiaji wengi wasimu ambao wanatumia WAP hiyo wamewekeza nguvu zaidi kwenye wap ambayo inawatumiaji wengi zaidi.