JF Android Mobile App - UPDATED

Nipende kuchukua fursa hii kuwapongeza uongozi mzima na timu yote ya jf kwa kuboresha muonekano wa jamii forum lakin binafsi nimependa maboresha makubwa zaid waliyofanya kwenye page za mijadala sasa itakuwa rahis kusoma kila mjadala kwa urahisi zaid na kuona wadau wote wamechangia nini.
 
Mbona sisi watumiaji wa browser hasa opera min bado Kuna tatizo au marekebisho bado yanaendelea?
Picha zinaonekana nusu, Mara ukitaka kureply inaandika maneno flan mfano....write your reply here..

Maxence Melo tusaidie hili
 

Mi jukwaa la mmu halipo kbsa hata baada ya ku update inakuaje asew
 
Mbona sisi watumiaji wa browser hasa opera min bado Kuna tatizo au marekebisho bado yanaendelea?
Picha zinaonekana nusu, Mara ukitaka kureply inaandika maneno flan mfano....write your reply here..

Maxence Melo tusaidie hili
Mkuu nililiwakilisha Jana kwenye ule Uzi wake amesema hilo kwenye Operamin haliwezekani tutumie browser zingine Kama Safari, Chrome na browser zingine zinazo sapoti.

Nilichogundua sahizi Operamin site nyingi hazisapoti sijui kwanini.
 
Hata mtumiaji wa Opera Browser (kwenye simu), Thread ikiwa na Picha huwezi kuiangalia wala kuqoute hata ku'like' .
 
Matatizo mengine yanasababishwa na hivyo vi tecno vyenu kabla hamjafanya update nunueni kwanza simu zinazoeleweka
 
Chief nina shida na wewe aisee
 
Anzisheni jamii forum univercity.
Watu wasome courses mbalimbali humu na wakimaliza wafanye mtihani kwa kila course na wapatiwe vyeti waviprint
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…