Umenena vizuri sana kwamba zimebeba nafsi za watu.. Hapa hakuna shida kabisa kwakuwa hii ni jamii moja, za mwaka huu zina maumbo ya kila aina .. Kwahiyo kuna nguvu hasi na chanya zinapishana humoNimesoma neno hadi neno, nimeelewa na ndio maana nimekupa reference ya jezi ya msimu uliopita ambayo nayo ilibeba nafsi/roho za watu kwa kielelezo cha jina la wananchi...
Au labda uniambie kuwa wananchi hawana roho...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Byuti byuti..!View attachment 2316941
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pantone, mamlaka ya kimataifa ya rangi, imechagua "Peri halisi" kama rangi ya mwaka wa 2022. Kampuni hiyo inaelezea Peri halisi kama "rangi ya samawati yenye kiini cha urujuani inayong'aa na kuleta tokeo la KUJIAMINI na UTHIBITI .! Tokeo hilo ni nishati hai na msisimko unaosababishwa na rangi NYEKUNDU".Mshana vipi hiyo jezi ya simba kwenye mambo ya nguvu ichambue kama ulivyoichambua ya utopolo
Hebu upe muda wakati maisha hayana formula na hayataki kunakili wala kukaririNa zamwaka jana zilikua na michoro ya watu,na hata ramani ya Africa,it means ilibeba vitu vingi vikiwemo hivyo ulivyotaja,na bado wakachukua karibu kila kitu..shida ukishakua mlozi utatilia mashaka kila kitu[emoji23]View attachment 2317256
Unatumia kitabu gani kutafsiri?Utetezi wa kiwango cha chini mnooView attachment 2309766
Na zamwaka jana zilikua na michoro ya watu,na hata ramani ya Africa,it means ilibeba vitu vingi vikiwemo hivyo ulivyotaja,na bado wakachukua karibu kila kitu..shida ukishakua mlozi utatilia mashaka kila kitu[emoji23]View attachment 2317256