Jezi mpya za timu mbalimbali kwa msimu ujao 2021/2022

Jezi ya Man City ya nyumbani ukiitazama vizuri hapo nyuma ya jezi kwa juu, imeandikwa 93:20

Hizo ni dakika ambazo Sergio Agureo alifunga goli la ushindi dhidi ya QPR mwaka 2012 katika siku ya mwisho ya msimu.

Goli hilo ndilo lililowapa ubingwa wao wa kwanza wa EPL huku wenyewe wakijisifu wameshinda ubingwa katika dakika za majeruhi za kocha Alex Ferguson yaani "The Fergie time"
View attachment 1782168
Naikumbika hiyo mechi tulikuwa tunaitazama pale maeno ya CDA Uhindini- Dom, mida ya jioni kama saa kumi na moja hivi kwenda kumi na mbili. Hakika siku hazigandi!
 
Inaonekana huko Ulaya mambo yao yapo sirias sana. Yaani kabla ligi hazijaisha lakini tayari mipango ilishafanywa ya ligi ijayo.

Vipi huku kwetu!. TFF waliahirisha mechi ya Simba na Yanga na hawajui itachezwa lini! Majamaa yalihairisha mechi mara mbili.
 
chama langu ze bluez mbona sjaiona au ndo iko jikoni

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app

Wale wa Chelsea uzi mpya unasadikika kuwa ni huu na utavaliwa rasmi jumamosi hii kwenye fainali ya F.A Cup dhidi ya Leicester City
IMG_8501.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom