Mbabani
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 2,505
- 7,176
Hii imenishangaza sana, siku ya uzinduzi wa jezi za klabu ya Simba kwa ajili ya msimu wa 2026/2027 ukifanyika Ngorongoro.
Siku hiyo hiyo jioni nimekutana na jezi feki nyingi sana zimetapakaa mtaani kwa bei ya 10,000-20,000.
Je, mzabuni ndiye anahusika ili kujiongezea faida mara dufu?
NB: Ushahidi ninao, jezi feki ni nyingi sana mtaani.