MwanaumeWewe ni mvulana .... Au?
Huyo Ni mvulana SI unajua tena siku wanaume wanazid kuwa wachache, tupa kuleWewe ni mvulana .... Au?
Nadhiri za kipuuzi na wewe mpuuzi nawewe umeona umeandika thread kabisa hivi nyie wanaume wa karne hii nna shida gani? Wewe Utakua form four uliepata Four ya Tisini na tisa mwangalie pua yakeMw
Mwanaume
Hivi kila Mtu aeleze waliomkataa na baadae akawadinya ni akili kweli ? Mimi akiwa kakangu mwenye akili kama hawa namkana jamani ni nini hii?Huyo Ni mvulana SI unajua tena siku wanaume wanazid kuwa wachache, tupa kule
Ni zile four. Za GPA, Manake Ni hewa tupuHivi kila Mtu aeleze waliomkataa na baadae akawadinya ni akili kweli ? Mimi akiwa kakangu mwenye akili kama hawa namkana jamani ni nini hii?
Mbona unatoa povu, jibu ulichoulizwa au na wewe nimiongoni mwa wale walikuwa na jeuri ila Kwa sasa unagawa mechi za ugenini?Nadhiri za kipuuzi na wewe mpuuzi nawewe umeona umeandika thread kabisa hivi nyie wanaume wa karne hii nna shida gani? Wewe Utakua form four uliepata Four ya Tisini na tisa mwangalie pua yake
Poleee ... Hakuna cha kujibu umeandika upuuzi ndio maana ila si mbaya ila Ngoja wavulana wenzio waje(wanaume hawawezi changia upuuzi) sorry kwa povu am out [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji126]Mbona unatoa povu, jibu ulichoulizwa au na wewe nimiongoni mwa wale walikuwa na jeuri ila Kwa sasa unagawa mechi za ugenini?
Una kukataa Kwa kawaida, mwingine anakukataa na matusi juu a mpaka unajihisi vibayaHivi kila Mtu aeleze waliomkataa na baadae akawadinya ni akili kweli ? Mimi akiwa kakangu mwenye akili kama hawa namkana jamani ni nini hii?
Bora useme wewe ... Wengine tuna povuuuuHamnazo huyu si bule
Hata kama ni Matusi si kaamua kukukataa kwa njia hiyo sasa wewe unaenda kudinya kama kaukwaa au migonjwa ya zinaa huko kujiwekea nadhiri za kijinga hivo? Sasa umepata faida ipi...Una kukataa Kwa kawaida, mwingine anakukataa na matusi juu a mpaka unajihisi vibaya
hahaha ......asante mkuu....stress freeNadhiri za kipuuzi na wewe mpuuzi nawewe umeona umeandika thread kabisa hivi nyie wanaume wa karne hii nna shida gani? Wewe Utakua form four uliepata Four ya Tisini na tisa mwangalie pua yake