WERAWERA!!!! Mbona hamcomments sasa??? ndo maana kwa TZ hakuna kujiuzulu pale ambapo kiongozi ameharibu kazi....Kulingana na maadili ya Jeshi kipengele cha kugoma au kujiuzulu hakipo na ukilazimisha ni kifo cha risasi au kitanzi ,so wamewa ifluence viongozi wengine wa kiraia wa-adapt kipengele hicho,ila kuna wengine umewa-underate mfano,kwa Mjomba Ndomba hapo ni Major Jeneral sio Kanali tena!