Jeshi linalomshikilia Mbowe ndilo lililomkamata Sabaya na kupongezwa

Kajeba

JF-Expert Member
Oct 15, 2020
827
1,966
Wakuu
Hakika maisha kutesa kwa wazamu wazee wetu walimaliza misemo yote!
Hii inchi ina raia wepesi sana wa kusahau mambo ndani ya muda mfupi, juzi tu hapa alikamatwa aliyekuwa DC wa Hai akarundikiwa makosa kibao ambayo kwa nafasi yake ni ngumu sana yeye kuyatenda labda tungeambiwa amefanya ubadhilifu sawa, wananchi hasa wanachadema wote walishangilia sana kitendo kile kilichofanywa na jeshi la polisi na walifika mbali zaidi, jeshi likapongezwa kwa kazi nzuri ambayo kiuhalisia ilikuwa ni uonevu kwa Sabaya.

Sasa jeshi lilelile kwa kesi ya kuungaunga kwa Mbowe mnalilalamikia Jeshi?
Wote tunatakiwa tulipongeze Jeshi kama tulivyolipongeza lilipomkamata Sabaya na kumbambikia kesi
 
Wakuu
Hakika maisha kutesa kwa wazamu wazee wetu walimaliza misemo yote!
Hii inchi inaraia wepesi sana wa kusahau mambo ndani ya muda mfupi, juzi tu hapa alikamatwa aliyekuwa dc wa hai akarundikiwa makosa kibao ambayo kwa nafasi yake ni ngumu sana yeye kuyatenda labda tungeambiwa amefanya ubadhilifu sawa, wananchi hasa wanachedema wote walishangilia sana kitendo kile kilichofanywa na jeshi la polisi na walifika mbali zaidi jeshi likapongezwa kwa kazi nzuri ambayo kiuhalisia ilikuwa ni uonevu kwa sabaya

sasa jeshi lilelile kwa kesi ya kuungaunga kwa mbowe mnalilalamikia jeshi?
Wote tunatakiwa tulipongeze jeshi kama tulivyolipongeza lilipomkamata sabaya na kumbambikia kesi
Sikumbuki kama Polisi ndio waliomkamata Gaidi Sabaya! Nakumbuka kama vile ni PCCB vile, hadi wakatoa statement kabisa.
 
Wakuu
Hakika maisha kutesa kwa wazamu wazee wetu walimaliza misemo yote!
Hii inchi ina raia wepesi sana wa kusahau mambo ndani ya muda mfupi, juzi tu hapa alikamatwa aliyekuwa DC wa Hai akarundikiwa makosa kibao ambayo kwa nafasi yake ni ngumu sana yeye kuyatenda labda tungeambiwa amefanya ubadhilifu sawa, wananchi hasa wanachadema wote walishangilia sana kitendo kile kilichofanywa na jeshi la polisi na walifika mbali zaidi, jeshi likapongezwa kwa kazi nzuri ambayo kiuhalisia ilikuwa ni uonevu kwa Sabaya.

Sasa jeshi lilelile kwa kesi ya kuungaunga kwa Mbowe mnalilalamikia Jeshi?
Wote tunatakiwa tulipongeze Jeshi kama tulivyolipongeza lilipomkamata Sabaya na kumbambikia kesi
Usishabikie usichokijua ulisikia dunia ilaumu kukamatwa kwa sabaya? Maana ni dhahiri wanafahamu kinachoendelea ,swala lakubambikizwa kesi kwa mbowe ni mkakati wakudidimiza vyama vya upinzani ndio maana umeanza kusikia nchi washirika wakiingilia nakutilia shaka awamu hizi mbili,hapa umeongea kwa lugha ya kuashiria ubaguzi
 
Namuonea huruma sana Mbowe maana huenda ni kweli ameundiwa zengwe

Ila tuache mahakama ithibitishe hivyo

Binafsi angekamatwa Lema kwa ugaidi nisingeshanga

Ila yote kwa yote, nafkiri tutajifunza kitu kupitia matukio haya
 
Sikumbuki kama Polisi ndio waliomkamata Gaidi Sabaya! Nakumbuka kama vile ni PCCB vile, hadi wakatoa statement kabisa.
kama ni hivyo
PCCB ndiyo imemfungulia sabaya kesi ya uhalifu wa kutumia silaha?
hiyo kesi inahusiana vipi na PCCB?
 
Back
Top Bottom