Jeshi letu linatumika vibaya

Wakati wa amani ulikuwa unataka liwe linafanya nini?? Kumbuka kuwa hili ni Jeshi la Wananchi na ni sawa sawa kwake kutumikia wananchi hasa pale inapohitajika.
 
Unayetumika vibaya ni wewe either kwa kujua au kutojua,

Jeshi linatumika kubeba korosho tu, jambo ambalo ni la kawaida sana sasa sijui huu wasi wasi mnaotaka kuonesha kuwa upo unalenga nini hasa
Hao ni laymen, don’t waste your energy walahi
 
Kwanza huyu mtu hakukagua magari wala nini alienda kuyaangalia tu yale magari maana yeye sio vehicle inspector kiasi kwamba ajue akague nini na nini kwenye hilo gari alitaka sifa tu maana hana uelewa wa kukagua magari wala nini
 
Una akili za kitoto
Kwanza huyu mtu hakukagua magari wala nini alienda kuyaangalia tu yale magari maana yeye sio vehicle inspector kiasi kwamba ajue akague nini na nini kwenye hilo gari alitaka sifa tu maana hana uelewa wa kukagua magari wala nini
 
Nawaona wamiliki wa malori walivyonuna,,,kwa wastan kinakua na malori 50+ kila msimu wa korosho kwa hapa Tandahimba
 
Fikiria bas hata kidogooo
we new member shika adabu yako,badala ya kumwambia mleta mada aliyekurupuka akidhani wanajeshi wote wanaenda kubeba korosho unakuja kuniletea ujinga?
Ulitaka watumike walimu kubeba korosho?
Ulitaka niandike maneno yanayokufurahisha?
Una uhakika sijafikiria au unaropoka tu?
Hivyo vimaneno vya "fikiria basi" uwe unawaambia vibinti unavyovitongoza au wanaokutongoza sio mimi Sir khan.
 
kwaiyo ulitaka kuona jwtz imevamia kenya au kuona jwtz wapo syria ndo uone linatumika vizuri?

kasome wajibu wa jeshi then urudi sawa jombaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…