pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,710
- 6,372
BBC . Wanatengeneza fursa.[emoji41][emoji41][emoji41] View attachment 930160
Hili swala la ununuzi sijui usombaji wa korosho siyo jukumu la jeshi letu.
Dunia inashangaa kuona jeshi letu badala ya kulinda mipaka ya nchi linatumika kuwatisha raia na mali zao.
Hatukununua magari ya jeshi Kwa ajili ya kusomba korosho ambazo hata hatuja ambiwa zinasombwa kupelekwa wapi.
Kuliingiza jeshi kufanya kazi ndogondogo kama hizo ni kulidhalilisha jeshi letu.
Huenda Amri jeshi hajui muda wa kukagua magari na kutembelea jeshi, ni ule muda ambao Nchi ipo kwenye hatari ya kuvamiwa.
Unapotembelea jeshi Kwa minajili ya kununua korosho tunakua na mashaka na nia yako.
Tulipe jeshi letu heshima.lina kazi kubwa ya kufanya Kwa ajili ya kulinda mipaka ya nchi yetu siyo kusomba sijui kubangua korosho.
Tusitumie jeshi letu kisiasa.
Naomba nikukumbushe tu mtoa thread, january 9, 2018 Wizara ya kilimo ilitumia gari za jeshi kupeleka Mbolea mkoani Rukwa baada ya Mh Rais kuwawakia Wizara.Hili swala la ununuzi sijui usombaji wa korosho siyo jukumu la jeshi letu.
Dunia inashangaa kuona jeshi letu badala ya kulinda mipaka ya nchi linatumika kuwatisha raia na mali zao.
Hatukununua magari ya jeshi Kwa ajili ya kusomba korosho ambazo hata hatuja ambiwa zinasombwa kupelekwa wapi.
Kuliingiza jeshi kufanya kazi ndogondogo kama hizo ni kulidhalilisha jeshi letu.
Huenda Amri jeshi hajui muda wa kukagua magari na kutembelea jeshi, ni ule muda ambao Nchi ipo kwenye hatari ya kuvamiwa.
Unapotembelea jeshi Kwa minajili ya kununua korosho tunakua na mashaka na nia yako.
Tulipe jeshi letu heshima.lina kazi kubwa ya kufanya Kwa ajili ya kulinda mipaka ya nchi yetu siyo kusomba sijui kubangua korosho.
Tusitumie jeshi letu kisiasa.
Jibu na hoja ya pili inayohoji baada ya kuzibeba wanazipeleka wapi? Au wanakwenda kuzihifadhi kwenye kambi zao?Unayetumika vibaya ni wewe either kwa kujua au kutojua,
Jeshi linatumika kubeba korosho tu, jambo ambalo ni la kawaida sana sasa sijui huu wasi wasi mnaotaka kuonesha kuwa upo unalenga nini hasa
Sasa kama hakuna vita. Ulitaka hayo magari yaozee yard.!?Hili swala la ununuzi sijui usombaji wa korosho siyo jukumu la jeshi letu.
Dunia inashangaa kuona jeshi letu badala ya kulinda mipaka ya nchi linatumika kuwatisha raia na mali zao.
Hatukununua magari ya jeshi Kwa ajili ya kusomba korosho ambazo hata hatuja ambiwa zinasombwa kupelekwa wapi.
Kuliingiza jeshi kufanya kazi ndogondogo kama hizo ni kulidhalilisha jeshi letu.
Huenda Amri jeshi hajui muda wa kukagua magari na kutembelea jeshi, ni ule muda ambao Nchi ipo kwenye hatari ya kuvamiwa.
Unapotembelea jeshi Kwa minajili ya kununua korosho tunakua na mashaka na nia yako.
Tulipe jeshi letu heshima.lina kazi kubwa ya kufanya Kwa ajili ya kulinda mipaka ya nchi yetu siyo kusomba sijui kubangua korosho.
Tusitumie jeshi letu kisiasa.
Kwa ninavyofahamu kulitumia jeshi kusafirisha mizigo au bidhaa ya serikali sio kosa ila ni moja ya majukumu ya jeshi la wananchi Tanzania(JWTZ) kupitia Jeshi la kujenga Taifa (JKT).Hili swala la ununuzi sijui usombaji wa korosho siyo jukumu la jeshi letu.
Dunia inashangaa kuona jeshi letu badala ya kulinda mipaka ya nchi linatumika kuwatisha raia na mali zao.
Hatukununua magari ya jeshi Kwa ajili ya kusomba korosho ambazo hata hatuja ambiwa zinasombwa kupelekwa wapi.
Kuliingiza jeshi kufanya kazi ndogondogo kama hizo ni kulidhalilisha jeshi letu.
Huenda Amri jeshi hajui muda wa kukagua magari na kutembelea jeshi, ni ule muda ambao Nchi ipo kwenye hatari ya kuvamiwa.
Unapotembelea jeshi Kwa minajili ya kununua korosho tunakua na mashaka na nia yako.
Tulipe jeshi letu heshima.lina kazi kubwa ya kufanya Kwa ajili ya kulinda mipaka ya nchi yetu siyo kusomba sijui kubangua korosho.
Tusitumie jeshi letu kisiasa.
hakuna uachokifahamu unaongozwa na mihehemko tu, ongeza maarifa kidogoHili swala la ununuzi sijui usombaji wa korosho siyo jukumu la jeshi letu.