Hoja ni kwamba:Kuna umuhimu wa kuonesha "fitness" kwenye dhifa za taifa au kusaka "bukta" zenye muonekano wa mavazi ya jeshi nyumba kwa nyumba?Is that much of a healthy fatique?
Wenzetu amerika na nchi nyingi Duniani raia wanaruhusiwa kuvaa nguo za jeshi sio fake tu hata originalCulture za majeshi zimetofautiana sana
west forces wanafanya demo za airshows where ndege mbali mbali zinaruka, parades, recruitment events zinafanyika vyuoni,mashuleni.
Hawafanyi demo za fitness kama za kwetu
Sisi ya kwetu imekuwa influenced na east eropean countries. huo utamaduni umetoka huko
East europe na Russia ,china,north korea ,even south korea bado wanafanya.
Lakini west european countries hawafanyi, badala yake wame focus ku show airpower na technologies.
Kusaka nguo za jeshi mtaani sio core function ya jeshi, maybe kumekuwa na utapeli unaofanywa na so called askari wa jeshi fulani kumbe ni combat tu wamevaa, is why wanazisaka, japo am not shure
America mtu anaweza vaa full combat, lakin ili kuwa identify kama ni askari au lah kuna kitambulisho maalumu.
Na wana database ina contain members mpaka wastaafu.
+ kwao si rahis kutumia mavazi ya jeshi kutapeli.
Me nataka CV za yule aliyesema jeshi letu ni la 6 kwa ubora duniani
Na hata bendera za mataifa yao hupeperushwa kwenye nyumba za raia wapendao na kuonesha uzalendo/upendo mkubwa kwa nchi zao.Nalo hilo unalionaje?Wenzetu amerika na nchi nyingi Duniani raia wanaruhusiwa kuvaa nguo za jeshi sio fake tu hata original
Wenzetu amerika na nchi nyingi Duniani raia wanaruhusiwa kuvaa nguo za jeshi sio fake tu hata original
Kuvaa nguo ya jeshi mbona kawaida tu mbaya ni kuwa na silaha bila kibari Kwa usalama zaidiNa hata bendera za mataifa yao hupeperushwa kwenye nyumba za raia wapendao na kuonesha uzalendo/upendo mkubwa kwa nchi zao.Nalo hilo unalionaje?
Tunaongea combat tu bila rankAmerica wana viwango fulani vya kuvaa nguo hizo, ukianza kuvaa kwa mpaka medali za jeshi , or military patch units and ranks in public ,inakuwa considered as impersonation of military personel na Hapo umevunja sheria. Na hii ni mpaka UK na some west european countries
Combat ,mabuti yes
Bendera ya Tanzania ukikutwa nayo hapa nchini,tena mwananchi wa kawaida,unapatiwa tuzo gani ya uzalendo?Kuvaa nguo ya jeshi mbona kawaida tu mbaya ni kuwa na silaha bila kibari Kwa usalama zaidi
Ni ushauri tu uchukueni, zama za kuvunja tofali kwa mkono sio sasa, kuonjesha likifua sijui unazuia roli kwa kichwa sio zama hizi.
Hizi nizama ambazo unatumia nguvu kidogo akili ni nyingi. Majeshi ya Ulaya na Marekani nadhani mnayaona, hukuti tofali wala mtu kapaka mafuta usoni ila ni rocket tu zenye speed laki tatu kwa sekunde.
Sasa nyie endeleeni kujipa ujiko kwa sisi walalahoi sijui kukagua sare, sijui kutupigisha pushup haina maana yoyote ile kugombana na Watanzania wenzenu.
Tunaongea combat tu bila rank
Nchi ya Tanzania hatuna potential enemy,yaani namaanisha hatuna uwezekano wa kivamiwa na nchi yoyote au kikundi chochote katika hiki kizazi Cha sasa,nikupe mfano wa nchi ya Korea kaskazini walivyo na uhasimu na majirani zao Korea kusini,au Taiwan walivyo Kaa katika mkao wa kivamiwa na China mpaka Huwa wanafanya mazoezi ya drill za kupambana na mvamizi,sisi huku hatuko hivyo,sisi tunafanana na nchi kama Switzerland au Luxemburg.Ni ushauri tu uchukueni, zama za kuvunja tofali kwa mkono sio sasa, kuonjesha likifua sijui unazuia roli kwa kichwa sio zama hizi.
Hizi nizama ambazo unatumia nguvu kidogo akili ni nyingi. Majeshi ya Ulaya na Marekani nadhani mnayaona, hukuti tofali wala mtu kapaka mafuta usoni ila ni rocket tu zenye speed laki tatu kwa sekunde.
Sasa nyie endeleeni kujipa ujiko kwa sisi walalahoi sijui kukagua sare, sijui kutupigisha pushup haina maana yoyote ile kugombana na Watanzania wenzenu.