Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,575
- 31,012
Ni ushauri tu uchukueni, zama za kuvunja tofali kwa mkono sio sasa, kuonjesha likifua sijui unazuia roli kwa kichwa sio zama hizi.
Hizi nizama ambazo unatumia nguvu kidogo akili ni nyingi. Majeshi ya Ulaya na Marekani nadhani mnayaona, hukuti tofali wala mtu kapaka mafuta usoni ila ni rocket tu zenye speed laki tatu kwa sekunde.
Sasa nyie endeleeni kujipa ujiko kwa sisi walalahoi sijui kukagua sare, sijui kutupigisha pushup haina maana yoyote ile kugombana na Watanzania wenzenu.