Jeshi la zimamoto na uokoaji

MinMash

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2012
Posts
373
Reaction score
161
mwenye taarifa za hali halisi ndani ya jeshi la zima moto atushirikishe,issue kama posho na mishahara kwa ngazi ya maofisa(mkaguzi msaidizi)
 
nimesikia kwamba wametangaza kazi na wala hatujaziona hapa jukwaani mwenye nazo azitupe hapa tuzione
 
naam ajira zimetoka lakini watu wengi hatujui salary scale zao ndio maana tunaomba msaada kwa wanao elewa scale zilivyo!
 
Serikalini hakuna mshahara wa 1.5 m. Kama unataka huo mshahara, anzisha serikali yako.
Tumeni maombi coz interview ya kukimbia uwanja wa mpira mara 12 itawapunguza sana. Zimamoto si pa kuchezea. PASIKIENI TU.
 
hata huo mdogo kama unaujua nisaidie
 
mwenye taarifa za hali halisi ndani ya jeshi la zima moto atushirikishe,issue kama posho na mishahara kwa ngazi ya maofisa(mkaguzi msaidizi)

Hili ni tofauti na jeshi la wokovu?
 
Binafsi naipenda hii kazi ya zimamoto, maana inawafaa wale ambao HAWAPENDI RUSHWA au mipango ya WIZI kazini maana naiman hakuna vitu kama hivyo kwao, wenyewe ni kuzima moto na kuokoa maisha ya raia na mali zao, siwasikii wakiwakamata wezi au mishe mishe kama hizo, labda walio ndani wanajua zaidi, ila kwa wale wazalendo na wapenda kazi zisizowapindisha na maagizo ya Mungu nahisi hii imekaa poa zaid. Kila la kheri kwetu sote.
 
mishahara na posho ni sawa na polisi na magereza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…