Jeshi la Uganda laingia Sudan Kusini

Prof

JF-Expert Member
Feb 24, 2010
1,577
2,463
Msafara wa wanajeshi wa Uganda waliojihami umeingia Sudan Kusini kufuatia amri ya rais Yoweri Museveni kwenda kuwanusuru waganda walioathirika katika mapigano ya wenyewe kwa wenyewe juma lililopita.

Msafara huo wa malori 50 ya kijeshi yanapewa usalama na vifaru vidogo vya jeshi la UPDF.

Madafara huo uliingia ardhi ya Sudan Kusini kupitia kivuko cha Nimule takriban kilomita 200 kutoka Juba na unatarajiwa kuelekea hadi mji huo mkuu kuwanusuru waganda walioko huko.

''Tunaenda Juba kuwanusuru takriban waganda 3,000 ambao wamekwama huko kutokana na machafuko yaliyotokea juma lililopita kati ya wanajeshi watiifu kwa rais Salva Kiir na wale watiifu kwa Makamu wake bwana Riek Machar.''

Brigadier Leopold Kyanda ameiambia shirika la habari la AFP kuwa ''hatutasita kuwasaidia wale wanaotaka kuondoka awe ni Mganda ama hata raia wa Sudan Kusini yenyewe''

''Bila shaka idadi hiyo inaweza kupanda zaidi''

Rais Yoweri Museveni alikuwa ametoa agizo kwa jeshi la taifa UPDF kwenda Sudan Kusini kuwaokoa raia wake walioko huko.

Msemaji wa jeshi Paddy Ankunda amenukuliwa akithibitisha kuwa kikosi kidogo cha wanajeshi kitakwenda kwa barabara kuwaokoa waganda walioathirika na mapigano

140318140206_uganda_army_640x360_bbc_nocredit.jpg

Hatua hiyo ilifuatia ripoti ya mauaji ya wafanya biashara watano raia wa Uganda miongoni mwa watu zaidi ya 272 waliouawa majeshi watiifu kwa rais Salva Kiir walipokabiliana vikali na wanajeshi watiifu kwa makamu wa rais wa Sudan Kusini bw Riek Machar mjini Juba.

Mashirika ya misaada yanasema hakuna maji safi ya kunywa na mahitaji muhimu.

Mji wa Juba hutegemea maji yanayosambazwa kwa matrela kwani hakuna mabomba ya maji.

Umoja wa mataifa unasema karibu watu elfu 40 wamekimbia mapigano ya karibuni, lakini huenda idadi hiyo ikawa kubwa zaidi.

Kwa sasa mustakabali wa taifa hili changa zaidi la Afrika haujulikani, matumaini yakiwa katika kutekelezwa kwa mkataba wa amani wa mwaka uliopita.
Source: BBC Swahili

My take: sijasikia tamko lolote or any concern from our government( Serikali ya TZ) kuhusu usalama na Hatima ya wabongo(wa TZ) waishio Juba, south Sudan.
 
Naunga mkono hoja, ndi
Mseven anaenda kumsaidia rafiki yake Salva Kiir kimya kimya. Katika hali ya kawaida huwez ukaingia nchi nyingne bila kua na makubaliano ya kimataifa ya kuingilia kati.
Naungamkono hoja
 
Acha kuandika upuuzi wewe kwa mambo usiyoyajua, Uganda wanatumiwa na Wazungu kufanya proxy war huko Sudani Kusini na hilo la kwenye kuokoa Waganda Museveni amelisema kama kisingizio tu, angalia kwanza hivyo vifaa vya Museveni amevipata wapi?
Na hata Kenya nao sasa hivi utaona wanapeleka majeshi Sudani Kusini ni kwa sababu Wazungu wanawataka wafanye hivyo lengo ni kuondoa influence ya Mchina huko Sudani Kusini, hivyo usitake nchi yetu ianze kujiingiza kwenye haya magomvi yasiyotuhusu!
 
Mkuu, sasa mimi na wewe nani mpuuzi! hiyo ni report ya BBC. Logic yangu hapa ilikuwa ni kwa nini serikali yetu haionyeshi kujali kwa usalama wa watanzania waishio huko.....my advice to you, hicho kichwa si cha kufugia nywele na ndevu, kitumie kwa kufikiri pia....
 
Bwana wee unae lalamika oooh sijui watarudije KILICHO WAPELEKA NDIO KITAWARUDISHA
 
Acha kuandika upuuzi wewe kwa mambo usiyoyajua, Uganda wanatumiwa na Wazungu kufanya proxy war huko Sudani Kusini na hilo la kwenye kuokoa Waganda Museveni amelisema kama kisingizio tu, angalia kwanza hivyo vifaa vya Museveni amevipata wapi?
Na hata Kenya nao sasa hivi utaona wanapeleka majeshi Sudani Kusini ni kwa sababu Wazungu wanawataka wafanye hivyo lengo ni kuondoa influence ya Mchina huko Sudani Kusini, hivyo usitake nchi yetu ianze kujiingiza kwenye haya magomvi yasiyotuhusu!

Una ushahidi mkuu? Au unaongea kwa speculations tu?
 
yani we unataka majeshi yetu yakafe bila sababu pumbavu
hivi kulikuwa na sababu ya kutukana? Ficha upumbavu wako mkuu. Hiyo hapo juu ni taarifa ya BBC iki report majeshi ya uganda kuingia south sudan kwa nguvu. ungekuwa na akiri ungekuja hapa jamvini na hypothesis nyingi ikiwa ni kwa nini Museveni anavunja sheria za kimataifa? Je kwa nini Rais salva kiir hajalalamika kwenye jumuia ya umoja wa mataifa dhidi ya dhana ya uvamizi?, je East Africa treaty inasemaje in case nchi mwanachama akiwa kwenye mgogoro wa kiusalama etc...Amka usingizini, unatudhalilisha watz
 
Huyo mtz huko juba kafata nin
mkuu ze-dudu, kuna watanzania kibao wanajitafutia riziki zao huko juba. Nimekutana nao wengi tu. kumbuka south sudan siyo mbali kivile, kwani kutoka kampala Uganda mpaka juba ni mwendo wa 6 hours tu...
 
Mkuu, sasa mimi na wewe nani mpuuzi! hiyo ni report ya BBC. Logic yangu hapa ilikuwa ni kwa nini serikali yetu haionyeshi kujali kwa usalama wa watanzania waishio huko.....my advice to you, hicho kichwa si cha kufugia nywele na ndevu, kitumie kwa kufikiri pia....

BBC ndiyo nini wewe? Uganda, Kenya &Co. wanatumiwa na hao hao wamiliki wa BBC kufanya vita huko Sudani Kusini, Somalia na kwingineko!
 
Acha kuandika upuuzi wewe kwa mambo usiyoyajua, Uganda wanatumiwa na Wazungu kufanya proxy war huko Sudani Kusini na hilo la kwenye kuokoa Waganda Museveni amelisema kama kisingizio tu, angalia kwanza hivyo vifaa vya Museveni amevipata wapi?
Na hata Kenya nao sasa hivi utaona wanapeleka majeshi Sudani Kusini ni kwa sababu Wazungu wanawataka wafanye hivyo lengo ni kuondoa influence ya Mchina huko Sudani Kusini, hivyo usitake nchi yetu ianze kujiingiza kwenye haya magomvi yasiyotuhusu!
Why must you write lies? Do you have proof that Kenyan Military has deployed in South Sudan? If so provide a link. Don't just drag Kenya into every issue.
 
Sijasema kwamba Kenya wanapeleka majeshi SK sasa hivi bali nimesema utaona nao wakipeleka yaani wakati ujao (future tense), ni swala la muda tu subiri muda siyo mrefu utaanza kusikia maneno kama ya Museveni ktk kwa Uhuru Kenya!
 
Hivi huyu barabarosa si ndiye aliyewahi kusema Bernie Sanders ndiye raisi ajaye wa Marekani?
Teh teh teh teh teh teh!
Mkuu Prof mvumilie huyu jamaa.
 
hivi kulikuwa na sababu ya kutukana? Ficha upumbavu wako mkuu. Hiyo hapo juu ni taarifa ya BBC iki report majeshi ya uganda kuingia south sudan kwa nguvu. ungekuwa na akiri ungekuja hapa jamvini na hypothesis nyingi ikiwa ni kwa nini Museveni anavunja sheria za kimataifa? Je kwa nini Rais salva kiir hajalalamika kwenye jumuia ya umoja wa mataifa dhidi ya dhana ya uvamizi?, je East Africa treaty inasemaje in case nchi mwanachama akiwa kwenye mgogoro wa kiusalama etc...Amka usingizini, unatudhalilisha watz

Mkuu Prof Juzi waziri Mahiga aliongelea Tanzania kuhusika na kutatua mgogoro wa Sudan Kusini, na jinsi unavyoathiri ukanda huu moja kwa moja.
Na ni lazima wawasaidie raia wa Tanzania ili ule uzembe wa South Afrika usitokee tena.
Ngoja nitafute ile link nitakuewekea hapa.
 
Back
Top Bottom